Recent content by rodwell

  1. R

    JamiiForums Tanzania Si lowassa wala ukawa wanaoweza kutuletea mabadiliko ya kweli na bora!

    Aisee we unaishi nchi gani ndg?hivi kuna mtu anaweza kusema kuwa swala la umeme siyo inshu tena?.mi naona unapiga kampeni tu
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Mtei walamba 5bn/- Lengo ni kumpisha Lowassa apitishwe kugombea urais

    kiukweli hili gazeti linatia aibu.nashindwa kuelewa taaluma ya hawa waandishi
  3. R

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    jamani mi naona arusha na mbeya cha mtoto
  4. R

    JamiiForums Tanzania J. Makamba, Sumaye, B. Membe hamuwaoni, Kwa nini Lowassa?

    mi namkubali sumaye kuliko hao wote
  5. R

    JamiiForums Tanzania Bunge: Zitto kulipwa mafao yake yote

    acha kudanganya watu ndg,wenje mwenyewe alisema zitto alikataa kumfanyia kampeni alipomwalika eti kisa ana urafki na masha.km kitu hujui kaa kimya kuliko kuleta propaganda
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Hainogi hta kidogo mboga isiyo na chumvi
  7. R

    JamiiForums Tanzania Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

    Jaman bunge huwa linaisha sa ngapi?
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe atangaza Vita na Zitto katika Vikao vya ndani vya Chama

    labda maskio yenu yana prblem hajasema zitto is who!sikilizen vzr halaf mje hapa.sion ukakas wwte mim
  9. R

    JamiiForums Tanzania Albert Msando afunguka kuhusu Zitto Kabwe

    sasa hicho kipengele kimewekwa kwa ajili ya mtu mmoja au ni kwa wanachama wote,na mbona walikipitisha kama hakikuwa fair?
  10. R

    JamiiForums Tanzania Albert Msando afunguka kuhusu Zitto Kabwe

    nikuulize swal,zitto hakushiriki kuandika hyo katiba?wewe na zitto nani anaijua vzr katiba ya chadema?aliwahi kusema wapi kuwa katiba inawalinda walioanzisha chama?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Albert Msando afunguka kuhusu Zitto Kabwe

    hivi unataka kutuaminisha kuwa chadema hakuna haki?hivi kama ktb ya chadema ingekuwa inakandamiza haki,kina prf safari,baregu,marando wangekuwa cdm?na ninani aliwahi kulalamika kuwa katiba ya chadema inakandamiza haki?na je chama cha siasa ni chadema tu?kwa nin ukubali kukaa kwenye chama ambacho...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Safari ajitosa kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti CHADEMA taifa

    hivi watanzania wenzangu tumefikia hali hii??hivi udini utugawe hivi?mi naamini serikali yetu haina dini kama ambavyo pia vyama vyetu vya siasa havina.kiongozi anachaguliwa ktkn na kuwa ana sifa za kuongoza na si dini yake.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Safari ajitosa kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti CHADEMA taifa

    mimi huwa najiuliza sana hivi ccm inapoeneza propaganda kwamba chadema ni chama cha kikristo,huwa wanawapa ujumbe gani wakristo wengi tu ambao wapo ccm na tena ni viongozi?je wahame ccm wakajiunge na cdm ambayo ni chama cha dini yao?
  14. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Safari ajitosa kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti CHADEMA taifa

    maskini wa fikra
  15. R

    JamiiForums Tanzania Vituko vya Facebook

    nikumbushe mkuu
Back
Top Bottom