Recent content by rodrguez

  1. rodrguez

    Natafuta mwanaume wa kunioa

    Pm
  2. rodrguez

    Hivi ni sawa mke wa mtu kwenda likizo kwao kila mwaka?

    Mkuu mke ni wako unamfaham vizuri tabia yake. Humu utapata ushaur wa tofauti sana kwa kuwa baadhi ya mikoa hawana desturi ya kumjali mwanamke wala kumdhamini. Sasa wewe endesha maisha yako ya ndoa kwa jinsi uonavyo ili mradi furaha na amani itawale ndani ya nyumba yako.
  3. rodrguez

    I am too Rich to get married

    Amejiunga kwenye kle chama cha wajenzi huru sasa wamempa shart la kutooa. Huu utajr tunaupenda lakini unatugharim.
  4. rodrguez

    Hivi ni sawa mke wa mtu kwenda likizo kwao kila mwaka?

    Ila wazazi wako unaonana nao. Kama wazazi wa mkeo wapo mbali kwenda kuwasalim sio vibaya.
  5. rodrguez

    Hivi ni sawa mke wa mtu kwenda likizo kwao kila mwaka?

    Kama wewe kila mwaka unaenda kwenu nae akienda kwao kuna ubaya gani si ana wazazi.
  6. rodrguez

    Aja na chupi nane

    Napta kimya kimya. Kama sifa ya kupendwa ni uchafu acha nisipendwe. Unavaa nguo ya ndani inakuwa kama ngozi.
  7. rodrguez

    Aja na chupi nane

    Usafi haubadili jinsia. Tena wanawake wengi mnahangaika na uso mnasahau sehem muhm za kufanya usafi.
  8. rodrguez

    Aja na chupi nane

    Sasa kama utamsafisha ili awe msafi mbona unapnga usafi. Usafi ndo kla kitu. Me mwanamke akvaa chupi nyeusi, nyekundu, brown nazchoma moto. Mtu nje msafi ndan sasa utadhani anaishi jangwani.
  9. rodrguez

    Aja na chupi nane

    Mwanaume hasifiwi kwa uchafu. Acha kumjaza ujinga.
  10. rodrguez

    Anataka nimzalie mtoto ilihali mimi na yeye tuna mwezi mmoja kwenye uhusiano

    Kla kitu n mipango huwezi zaa tu bla mpanglio. Kwan cku hz bnadam wamekuwa ng'ombe maana ng'ombe ndo unaenda kuazma dume hata kwa jran
  11. rodrguez

    Huyu Bi Mkubwa amekuwa kero sasa kwangu!

    Kosa lako n kumgegeda ulpaswa uwe na msimamo. Huyo dawa yake ndogo tafuta no ya mume wake uzungumze nae na mkeo mweleze mpango wako. Weka mipango sawa mkutane na huyo bibi kizee halafu unaumulekeza mume wake aje ashuhudie tabia ya mkewe. Hapo itakuwa mwisho wa usumbufu.
  12. rodrguez

    Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

    Na ww unafurahia hil.
  13. rodrguez

    Natafuta partner wa kike..

    Ww hutak hyo nafasi
  14. rodrguez

    Natafuta wa kunipoza machungu niliyonayo

    Pole ina maamuz ulyofanya n magum unapaswa ufanye maamuz ya busara. Angalia ucje ishia kutendwa tena kwa mara ya pili
Back
Top Bottom