Ni nchi pekee barani afrika kwa watu wake kuwa wakalimu na wavumilivu na pia ni nchi pekee Africa watu wake wanapenda sana kuongea lugha ya taifa ata wakiwa ofisini na wakiwa majumani na ni nchi peke e Africa mashariki kwa sasa bongo flavor inashika kwa kasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Israel ni nchi ya wakristo na wayahudi. .. ukipiga Israel elewa unapiga wa kristo na wayahudi..
Na sisi hatuwezi kukubali taifa hili kupigwa . Hacha wajinga wakiharabu na upuuzi wao na wakiendelea na upuuzi wao basi lazima tutawapiga..
Huu ni uvivu wakufikilia na sasa hutajukiza jeshi la kujenga taifa wanamaeneo makubwa na sijui wanafanyia nini?... Sasa sijui taifa linajengwaje wakti hii ndio fursa yao.
Tatizo ni mawazo ya mtu mmoja !!! Na kutopenda ushauri kwa viangozi wetu.... Hacha tuone nchi inavyo kwenda. Ila mwisho Unaweza kuwa Mzuri kiuchumi au ukawa mbaya zaidi kuliko hata Ethiopia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.