You got high on life, that shit drugged you
You walkin' around like you invincible
You dropped outta school, you lost your principles
I know people backstab you, I feel bad too
But this '*** everybody' attitude ain't natural
But you ain't the same, this ain't KumbaYe
But you got hurt because...
Hiphop inajibiwa kwa nyimbo...huwezi msifia msanii kwa ku tweet..toa reference ya nyimbo zake...album ngap...nyimbo zake kali ni zipi...hivi ndo vigezo vya msanii...sio kukaa kwny computer ku tweet hizo mambo wanafanya wakina trump daily
Nikki mbishi anzingua siku hizi. Hes no longer serious..dada pumzisha mwili wako...ngoma ngona sasa hiyo. Tena official release..huyu cgakii sijui nn kimempata
Curently katika hiphop ya kenya kuna rapper anaitwa khaligraph jones..naona anikimbiza industry ya hiphop kenya..then taratibu ana pentrate kwnye soko la bongo...ngoma kama mazishi..mask off(toa tint) ni baadhi ya track zinazo mfanya awe ameshika soko la kenya...nafkiri huyu chalii kibongo bongo...
I agree with u thts y i said let them shine..ila lyrically and flow..jarmine is the illest..the album west paltnum with no feature at all...cole kaingiza mkwanja mref kuliko wasanii wote kwa mwaka jana..kwa tour ya forest hill drive..album iliyo toka 2014...hes js the laylow type of a nigga...i...
I think this kid is overrated....js bcoz westcoast currently haina msanii anae wakilisha vizuri..thts why wana mcrown huyu chalii....bt in reality..ni msanii wakawaida...u cant compare him with jcole.lyrically ata kwa flow.....sema its all gud..wacha wote wa shine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.