Lee Napoleon
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 896
- 568
We jamaa umesoma Magogoni nadhani, yaani unaakili sanaAlmost kila mwana Hip Hop huanza vizuri akiwa na misismamo yake binafsi lakini anapofikia level ya juu huwa chini ya watu kwa hiyo mambo mengi anayoyafanya yanakuwa yanakwenda kimikataba.Tusilaumu kubadilika kwao kwa sababu wao pia huangalia mustakabari wa maisha yao.SOMETIMES THEY MUST SELL THEIR SOUL TO THE......



️......Ni vigumu kukabiliana naye kwa sababu unaweza kumfananisha na kila mwanahip hop na pia unaweza usijue kafanana na nani.Dogo anajua kunyumbulika balaaa.