Rodgerson
Member
- Jul 31, 2015
- 12
- 13
Curently katika hiphop ya kenya kuna rapper anaitwa khaligraph jones..naona anikimbiza industry ya hiphop kenya..then taratibu ana pentrate kwnye soko la bongo...ngoma kama mazishi..mask off(toa tint) ni baadhi ya track zinazo mfanya awe ameshika soko la kenya...nafkiri huyu chalii kibongo bongo angeweza pambana na NGWAIR peke ake..hiphop ya bongo imeshuka flan ivi..ushindani umeshuka balaa...nafkiri wasanii wakibongo they have alot kujifunza kwa huyu mchzi