Recent content by rodgers mbwana

  1. R

    JamiiForums Tanzania Boom la kwanza TRANSFER Vyuoni

    Nawaonea wivu mlokula hyo laki 5 mm allocation imekuja cha ajabu nabeba begi Leo naondoka bila boom.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Transfer za loan

    Inauma sana! Semester inaisha boom naskia kwa redio tyuuuu... Nadaiwa kuliko serkal ya Tz.. Cjui serikali ipoje.
  3. R

    JamiiForums Tanzania transfer...

    je inamaana zile za kwanza zikichelewa boom la pili kuna uwezekano wa kupata ktk chuo ulichopo kwa sasa!?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Islamic University haipo Central Admission System ya TCU?

    MUM ipo under TCU ila haipo Cas only. Kwa maana wanachagua wenyw wanafunz kulingana na sifa elekezi za TCU alaf wanayatuma majina TCU.ndo maana wanafunzi wake pia ni wanufaika wa mkopo na wanalipia pia elfu 20 ya TCU.acheni imani potofu kwa kudhani MUM ni madrasa. Wale jamaa hawana huruma ktk...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Islamic University haipo Central Admission System ya TCU?

    Acha ujauzito wa mawazo wwee..... Nenda kama hujadisco wew.. Au uliza wanaosoma wakupe majibu.
  6. R

    JamiiForums Tanzania transfer...

    Inabd utoke Jordan lakin mpaka now nahix process dooroooooo
  7. R

    JamiiForums Tanzania transfer...

    Siku 60 zishafika kwang
  8. R

    JamiiForums Tanzania transfer...

    Kuuumbeeeee.... Ndo maana dd zetu wanajiuzagaaa... Mpaka mwaka wa 2??? Hahahaaaa Nouma xaaanaaa
  9. R

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa waliosoma Chuo Kikuu

    Kuna kachuo x C inaanzia 40 ila ukiipata hyo kitambi kimekwisha semester nzma
  10. R

    JamiiForums Tanzania transfer...

    Chuo gan upo mwenzang na mie?? Mm nalalia mapera tyuuuu... Yanaumiza tumboo
  11. R

    JamiiForums Tanzania transfer...

    wenzangu na mie tunaougulia maumivu ya transfer ya loan tukutane hapa tufarijiane..
  12. R

    JamiiForums Tanzania Msaada joining instruction-Korogwe teachers college

    nilisomaga pale ni pm namba yako nikufanyie msaada wa jinsi ya kupata.
  13. R

    JamiiForums Tanzania HESLB wametoa majina ya mkopo mwaka 2015/16

    kikoozi kasha kohoa tayari humu mjengoni...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Msaada heslb

    duuuh!! Pole ndugu yangu.. Roho inaniuma coz nahis kilichokukuta wwe na mm kitanikuta mwaka huu. Duuu...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya 13 wapya, ahamisha wengine 7

    mungu saidia octoba 25 ukawa wachukue nchi maana sioni kazi ya ukuu wa wilaya zaidi ya kupga kampeni za ccm kweny vikao
Back
Top Bottom