Recent content by rockii

  1. R

    JamiiForums Tanzania Iphone 5s 64GB for sell

    Bei imesimama kiongozi! Tena mkononi!
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wanaume amkeni acheni kulalama

    Care nyumbani dadangu! Meals, masomo, kurudi hm mapema kukaa na family na MAMBO MENGINE KTJ NDOA!
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wanaume amkeni acheni kulalama

    Nahitaji kutumia...!
  4. R

    JamiiForums Tanzania ugonjwa wangu.

    Pole sana!
  5. R

    JamiiForums Tanzania Vodacom na CRDB kuna mtandao wa wizi hatari

    Pole sana mdau! Ipo hewani hiyo! Wapigie wahusika, hapa si mahali pake wiseboy!
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wanaume amkeni acheni kulalama

    Dah!!! Salaale! Mmeamua wandugu! Kulikoni?! But si wote, wengi wetu tunajali, tunacare!
  7. R

    JamiiForums Tanzania Wanaume amkeni acheni kulalama

    Kwani bado kuolewa! Nipo dume linalojua kuhudumia hapa..!
  8. R

    JamiiForums Tanzania Maandamano na mgomo wa CHADEMA watikisa ofisi za Mkuu wa mkoa Ilala

    Kama unatumia simu yenye QWERTY keypad na km unafikiri vzr, si jambo la kushangaza kuandika cruti... Badaya ya criti....! Typing errors, ni kama vile ulivyoandika tutatakuelewa hapo juu! Jadili mada ama mtiririko wa mawazo!
  9. R

    JamiiForums Tanzania Maandamano na mgomo wa CHADEMA watikisa ofisi za Mkuu wa mkoa Ilala

    Kweli nyani haoni kundule! Comment yako imeonesha kuwanuna upungufu mkubwa wa kufikiri crutically na uelewa! Sijuzungumzia chcht km ulivyocomment! Wewe ni PUNGUWANI MKUBWA na ni narrow minded! Just knw kwamba si kila anae critique CDM na move zao ni mwana CCM au member wa chama chcht cha siasa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Maandamano na mgomo wa CHADEMA watikisa ofisi za Mkuu wa mkoa Ilala

    Nina uhakika Mkuu wewe ni zaidi ya hovyo! Tena kiumbe asuyejutambua na kutambua mambo na ulimwengu! Si wana CCM au CDM wote ni hovyo, wapo walio makini sana...!
  11. R

    JamiiForums Tanzania Maandamano na mgomo wa CHADEMA watikisa ofisi za Mkuu wa mkoa Ilala

    Simaanishi na sikusema kwa CCM ni mpango wa Mungu na katu sitathubutu juganya hivyo( kutokana na umakini wangu ktk kufikiri na kupima mambo)! Ninachopinga ni genge la wafitini, wajanja, na wataka vurugu kuitwa mpango wa Mungu!
  12. R

    JamiiForums Tanzania Maandamano na mgomo wa CHADEMA watikisa ofisi za Mkuu wa mkoa Ilala

    Waambie hao.... Hebu kuweni na walau simple reasoning!!!
  13. R

    JamiiForums Tanzania Maandamano na mgomo wa CHADEMA watikisa ofisi za Mkuu wa mkoa Ilala

    Watz walio wengi si km wewe! Wanaunga mkono kinachoendelea na itapita kwa kishindo! Amini nakuambia!
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mabinti wa Kimasai

    Masai tamu bana! Very natural! Km ni mmasai wa mjn, aangaliw vzr... Km ni wa kjjn anahitaji kuwwkwa sawa!
  15. R

    JamiiForums Tanzania Maandamano na mgomo wa CHADEMA watikisa ofisi za Mkuu wa mkoa Ilala

    Hv kumbe CDM ni mpango wa Mungu!! Mungu yupi huyo? Mnamfanyia masihara Mungu au ni uchache wa fikra, kuchambua mambo kwa umakini ama upofu wa macho na akili! Hebu acha hizo ww.... Mungu yupo Makini na kamwe CDM, genge la wajanja wenye maslahi MAALUM haliwezi kuwa mpango wa Mungu katu!
Back
Top Bottom