Mabinti wa Kimasai

Mabinti wa Kimasai

Status
Not open for further replies.
Wana hasira sana, Andaa mahari kubwa, Wanaheshima sana
 
Mabint wa kimasai wengi wana TABIA NZURI.....

ila jiandae kwa mahari kubwa
 
Masai tamu bana! Very natural! Km ni mmasai wa mjn, aangaliw vzr... Km ni wa kjjn anahitaji kuwwkwa sawa!
 
Wamasai wazuri wale wa mujini kama kina moleli hawa ndiyo wanaitwa waarusha sema wanakiburi ila ni wachapa kazi. Naskia siku mkigombana akarudi kwao ni inshu sana kwenda kumchukua lazima pesa ikutoke
 
We kimburukutu hebu inama uvunguni kwako halafu jinuse mbunye uone kama haitoi uvundo kama kijasho cha beberu...

Wakati mwingine haina haja ya kuweka posts za kishenzi kama huna cha kuandika...
sory kama we ni mmasai au imekukera, ni watani wangu hao ndo mana nmeandika hvyo...... so kama we ni mmasai basi wanukia king'ombe ng'ombe joooh:bolt:
 
Ndugu wana Jamiiforums

Kuna rafiki yangu kipenzi ana mpenzi wake wa kimasai, hawana muda mrefu sana katika mahusiano, sasa naona kama vile ana mpango mkubwa na huyo mpenzi wake, sasa anataka kujua tabia generally za mabinti wa kimasai na mila zao ili afanye maamuzi yake.

Please, mwenye taarifa na habari zaidi ya watu hawa karibuni sana.

wishin him uroda,wana tabia njema sana
 
Uuuuuduuu! mahari ni ngombe kama 5~10 na huwa mahari zetu haziishagi as hata uwe umetoa hizo ng'ome huwa kila mwaka kuna kandama ka kumpelekea baba mkwe kwa kukupatia mke. Ktk koo na familia zilizoendelea ni in terms of money kama boma letu kiwango kidogo ni 1,000,000. Mtafute mshenga mmasai anayejua namna ya kwenda. Mwanzo inaanza sukari kama 10kg ndani umetumbukiza kishika uchumba as pete,saa,bangili ama wale wa intiria ni inapelekwa bangili inatundikwa kwenye kamti nyumbani kwa binti baada ya siku kadhaa mnaifatilia mkikubaliwa mnaanza majukumu ya kujitambulisha mpk ndoa. Huwa harusi ni mbwembwe za mjini kule wazazi wakikubaliana binti unabarikiwa na wabibi ukiwa umekaa kwenye kigoda basi unachukuliwa unaenda kwako mambo kwiiiisha.
 
ajiandae kikamindoo maana hawapendi wanaume wajinga wajinga..!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom