Taa huwekwa kwa ajili ya kuongoza magari/ kuweka usawa katika matumizi ya barabara kuepusha ajali! ivo cdhan kama ni issue kuwekwa taa za brbrn wilayan! tulisha kalili taa hadi kwenye msongamano wenzetu hata kama gar mbili hupita! hata kijijini uweza kuweka taa za barabarani!
Kwa katiba ya nchi gani! soma katiba af ndio uandike unachohisi kama kinaweza kutokea! Kwanza kama mgombea urais atatoka bara makam lazima atoke Zanzibar sasa lowasa akigombea slaa anakuwaje VP? na lipumba anakuwa waziri mkuu? je ni serikali ya mseto? if yes!! katiba je inatamka nini? katiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.