Soma hii ndugu utaelew kila kitu, ukishaelewa naomba tuhame hii mada twende nyingine ambayo naomba mchangue wenyewe, swali ni lile lile , unataja kitu kimoja ambacho Unahisi diamond amemzidi Ali, na hapa utasaidiwa kujua ukweli ili ukweli ukuweke huru, tayari tumeshajua kua miaka ambayo diamond...