Recent content by Robin

  1. R

    Kikwete kaisahau Zanzibar katika mikataba ya maendeleo aliyosaini China

    kwani wanzanzbar si mn a rais wenu?mwambien naye akasain china
  2. R

    Zitto Kabwe: Maelezo yangu kuhusu kazi za Kigoma AllStars/LEKADUTIGITE kwa NSSF na TANAPA

    Hivi mtu ambaye mama yake ni mahututi anaweza pata mda wa kuchangia jamiiforums?
  3. R

    Kwa mujibu wa Nyerere, Kikwete hatufai!

    as if u were on my mind mkuu.what a shame,JK anaogopa kuwaudhi wazenji
  4. R

    Hotuba ya Lukuvi bungeni kuthibitisha kauli yake kanisani, UKAWA kumchukulia hatua za kisheria

    Ndio wawakilishi wa JK,its true. birds of the same wings fly together.
  5. R

    Tamko kutoka TBC: Mvua iliathiri mitambo wakati wa hotuba ya Lissu

    Duuuh,hadi faiza kawageuka tbc.Kweli uongo wao umezidi
  6. R

    Wenyeviti wa Kamati za Bunge: Kilango, Sendeka, Wassira washinda

    hakuna hata mmoja kutoka kwa wajumbe wateule wa rais?chadema?
  7. R

    Ulitamani nani awepo katika Party inayokuja?

    natamani kumuona faiza foxy
  8. R

    Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

    Duuh,yaani wizara inaongozwa na,wanafunz,waziri na mwigulu.kweli Jk yuko makini sana
  9. R

    Uganda yaishutumu Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete juu ya EAC

    huyu mganda saiz yake ni job lusinde.Job jitokeze umjibu
  10. R

    Kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA kuhusu 'Waraka wa siri' uliosambazwa kumhusu Zitto Kabwe

    well said DR.kitila,yapaswa kuwa hivyo.all the best ktk kuyamalza.
  11. R

    Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    Sitak kuamini hii imetoka kwa lema,hv tofauti yako na mwigamba iko wap?unafki mtupu na chuki binafsi,kwanin mvuane nguo hadharan?kwani wewe kama binadam huna madhaifu?Ama kweli mnabomoa chama kwa mikono yenu wenyewe.AKIONGEA MWINGINE ANAITWA MSALITI BUT LEMA ...?its high time uongoz uwaadhibu...
  12. R

    Anayetuhumiwa kumwua Mwangosi: PACIFIUS CLEOPHACE SIMON hajasoma sekondary?

    huyu atakuwa yule kichaa aliyekiri kumuuua Dr.ulimboka ndo kahamishiwa Iringa..filamu ya jeshi la policcm inaendelea tena
Back
Top Bottom