Recent content by Robertus Jacobus

  1. Robertus Jacobus

    JamiiForums Tanzania "Mtu anakuumiza, lakini bado unamrudia? "Tatizo si udhaifu wako".

    PSYCHOLOGY LEO 🧠 Mtu anakuumiza, lakini bado unamrudia? Tatizo si udhaifu wako. Umewahi kujiuliza: "Kwa nini naendelea kuwa na mtu ambaye ananiumiza?" Hauko peke yako. Na hapana, wewe si "mjinga" wala "dhaifu." Kinachoendelea ndani yako Tunavutiwa na kile tunachokizoea. Kama ulikulia kwenye...
  2. Robertus Jacobus

    JamiiForums Tanzania Breaking the Silence on Stress and Mental Distress in Our Community

    Moyo Wako Pia Unahitaji Mapumziko 💙* Akili na moyo pia vinaumwa ila havilii kwa sauti wengi wetu tunacheka hadharani na kulia tukiwa faragha. Dalili za kuzingatia: ✔️ Kukosa usingizi ✔️ Kukosa hamu ya vitu ulivyovipenda ✔️ Hasira za haraka ✔️ Kujitenga na watu Akili nayo huumwa na mara nyingi...
  3. Robertus Jacobus

    JamiiForums Tanzania "High functioning burnout"

    anayeuliza. Lakini ndani, roho imechoka. Saikolojia inaita hali hii high functioning burnout au "uchovu wa kimya". Mtazamo wa Kisaikolojia: Kuhisi uchovu si udhaifu. Ni ishara kwamba mwili wako unakuomba usikilizwe. Kuongea na mtu unayemwamini au mshauri ni hatua ya ujasiri. Mtazamo wa Kiroho...
  4. Robertus Jacobus

    JamiiForums Tanzania 🧠 "Hata Nabii Alichoka" 🙏 *Imani na Afya ya Akili*

    Wengi wanaamini: "Nikiwa na imani kweli, sitachoka, sitakuwa na wasiwasi, sitahuzunika." Lakini Biblia inamwonyesha Nabii Eliya (1 Wafalme 19) baada ya ushindi mkubwa wa kiroho. Alichoka kupita kiasi, akaogopa, akakimbia, akaketi chini ya mti na kuomba afe. Mungu hakumkemea kwa "upungufu wa...
  5. Robertus Jacobus

    JamiiForums Tanzania SAIKOLOJIA LEO:

    🧠 COUNSELLING PSYCHOLOGY LEO: Mada: Msongo wa Mawazo (Stress) Client: Habari mshauri. Siku hizi nakosa usingizi, kichwa kinauma na nakasirika haraka hata kwa mambo madogo. Nina shida gani? Counselor: Karibu sana unachoelezea ni ishara za kawaida za msongo wa mawazo (stress). Mwili na akili...
  6. Robertus Jacobus

    JamiiForums Tanzania Thread ya kuomba ushauri nasaha kuhusu tatizo la kiafya linalonisibu kwa muda mrefu sasa

    Pole sana mkuu sasa kuna hili kabla hatujaingia kwenye issues za kisaikolojia hebu fanya hivi dalili zako haziwezi kuhitimishwa kuwa za kisaikolojia bado. Kama kupoteza fahamu wakati wa mazoezi, kifua kubana, kizunguzungu, macho kuona giza na miguu kuishiwa nguvu ni hizi ni dalili zinazohitaji...
  7. Robertus Jacobus

    JamiiForums Tanzania Uongo ambao dunia inauamini kuwa ni ukweli

    Aisee!!@
  8. Robertus Jacobus

    JamiiForums Tanzania Saikolojia: Umechoka, lakini huwezi kuacha Kazi? Hiyo ni dalili za Burnout

    Ndio maana nipo huku mkuu zaidi ingia hapo Figma tuyajenge karibu sana
  9. Robertus Jacobus

    JamiiForums Tanzania Saikolojia: Umechoka, lakini huwezi kuacha Kazi? Hiyo ni dalili za Burnout

    🧠 Counselling Psychology Leo: Kazi na Uchovu (Burnout) "SESSION" Kikao cha ofisini pamoja na client wangu Client:Counsellor, nimechoka. Nalala saa nane lakini naamka bado nimechoka kazi niliyokuwa naipenda sasa naiogopa. Counselor:Asante kwa kuja na kusema hilo kwa ujasiri hebu niulize hali...
  10. Robertus Jacobus

    JamiiForums Tanzania SAIKOLOJIA LEO:

    Hahahahahaha hapana angie hapa Counselling Psychology Leo | Huzuni na Sonona Je, umekuwa na huzuni nzito kwa muda mrefu bila kujua sababu? 💙 Kila mtu huhuzunika mara moja moja, na hilo ni la kawaida. Lakini sonona (depression) ni huzuni nzito inayodumu zaidi ya wiki mbili na kuathiri maisha...
  11. Robertus Jacobus

    JamiiForums Tanzania SAIKOLOJIA LEO:

    Counselling Psychology Leo | Huzuni na Sonona Je, umekuwa na huzuni nzito kwa muda mrefu bila kujua sababu? 💙 Kila mtu huhuzunika mara moja moja, na hilo ni la kawaida. Lakini sonona (depression) ni huzuni nzito inayodumu zaidi ya wiki mbili na kuathiri maisha yako ya kila siku. Sonona si...
  12. Robertus Jacobus

    JamiiForums Tanzania SAIKOLOJIA JIONI

    🌙 Ushauri wa Jioni | R.J. Counselling Siku imeisha, na huenda umebeba mengi: kazi, madeni, familia, au mawazo yasiyoisha. Leo jioni, jipe dakika tano tu: 🔹 Vuta pumzi ndefu kwa sekunde 4, ishikilie sekunde 4, kisha itoe taratibu kwa sekunde 6. Rudia mara tano. 🔹 Andika mambo matatu mazuri...
  13. Robertus Jacobus

    JamiiForums Tanzania Usichanganye kuepuka hisia na kuzipona

    SAIKOLOJIA YA JIONI R.J. COUNSELLING & ROBERT JAMES PODCAST USICHANGANYE KUEPUKA HISIA NA KUZIPONA Wakati mwingine mtu huonekana mtulivu kwa sababu ameshaanza kukimbia hisia zake, si kwa sababu amezishinda. Unaweza kuwa unacheka, unaendelea na kazi, unaongea na watu na kuonekana uko...
  14. Robertus Jacobus

    JamiiForums Tanzania SAIKOLOJIA LEO

    SAIKOLOJIA NASIHI | UJUMBE WA LEO: UNAPOKWEPA HISIA HUA HAZIPOTEI HUJIFUNZA KUJITOKEZA KWA NAMNA NYINGINE. Katika saikolojia nasihi, emotional avoidance ni tabia ya kukwepa, kuficha au kujisumbua ili usikabiliane na hisia zinazokusumbua. Unaweza kujishughulisha kupita kiasi, kucheka kila...
Back
Top Bottom