Breaking the Silence on Stress and Mental Distress in Our Community

Breaking the Silence on Stress and Mental Distress in Our Community

Joined
Apr 6, 2024
Posts
67
Reaction score
66
Moyo Wako Pia Unahitaji Mapumziko 💙*

Akili na moyo pia vinaumwa ila havilii kwa sauti wengi wetu tunacheka hadharani na kulia tukiwa faragha.

Dalili za kuzingatia:
✔️ Kukosa usingizi
✔️ Kukosa hamu ya vitu ulivyovipenda
✔️ Hasira za haraka
✔️ Kujitenga na watu

Akili nayo huumwa na mara nyingi kimya kimya na kuomba msaada si udhaifu ni ushujaa na uhitaji kuvunjika kabisa moyo ndipo uombe msaada.

✨ Ongea na mtu unayemwamini
✨ Pumzika bila hatia
✨ Weka mipaka
✨ Tafuta mshauri nasaha mapema

Anza leo kuongea na mtu unayemwamini pata muda wa kupumzika weka mipaka na tafuta mshauri nasihi mapema.
Akusaidie.

Na ukihitaji mtu wa kukusikiliza bila kukuhukumu basi Bonyeza link kwenye bio Sign in - Google Accounts au tuma ujumbe 📩
📞 +255748951191
👤 Robert James (mitandao yote)

#AfyaYaAkili #Counselling #UshauriNasaha #MentalHealthTZ #RobertJames #Tanzania
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom