Recent content by Robert20

  1. R

    JamiiForums Tanzania CDF ,IGP, DPP jiandaeni kujibu Aliyeua Watanganyika Oktoba 29 2025 ni nani? Na Nani aliwapa Order ya Kuua Watanganyika Oktoba 29!

    Wanasiasa ni hatari sana. Hii ndyoo mkuu ni janga kwa vyombo vya dora
  2. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Ndunguru: Summons zitolewe kwa DCI, CDF na IGP waje kutoa ushahidi upande wa utetezi

    Hawa jamaa cna uhakika kama wataenda,na wasipoenda Sheria inasemaje ?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Antipas Lissu special thread (CHADEMA CHAIRMAN)

    Mboe special ,uzii maluum.usaliti wa mboe
  4. R

    JamiiForums Tanzania TIMU MAGHUFURI MTU MBAYA ( Tujikumbushe jinsi asali ilivyotamu

    1.Kigogo 2.Mboe 3.Zito 4.Shangazi Daaah, hii miamba ilimshambulia sanaa marehemu maghufur Cjui kwa sasa Nini Kimetokea. Asali tamu sana Mtume Kuna miujiza? Nini kimetokea ,,,,,,,>mama kajifungua bila ujauzito ..... Nawatahadharisha 1.Tusali sana Kila mmoja kwa dini yake
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kumi
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hahahaha, Asante
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naomben mkeka
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kutoka X ukurasa Wa Roma Kuhusu Waziri Katambi.

    Si kwamba hatuna viongozi wenye uwezo ,na katambi c kwamba hajui vipaumbele, nafasi za kuteuliwa mara nyingi ukishaapa. 1.unamsoma aliekuteua ,ukishamsoma ni mtu wa aina gan na ana taka Nini unaecheza mlemle Ukienda kinyume hakuna anaekupigia cm zaid Asbh ukiamka kig'ora hakuna nan yupo...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kuna tetesi za vita kati ya Rwanda na Burundi

    Kwan mwenyekiti wa jumuia ya afrka mashariki ni nan,kama hizo tetesi zipo bc tutalajie kuona wakuu wa NCHI wanachama wakikutana kwa dharula,hapo tutajiongeza kuwa hzo tetesi ni za kweli
  10. R

    JamiiForums Tanzania Hizi ni biashara ambazo kwa Tanzania nikisikia mtu ameanzisha huwa naishia kusikitika tu!

    Upo sahihi ,mm ni mhanga point namba moja.nadhani ni uwelewa na washauri pia
  11. R

    JamiiForums Tanzania Video: Mwanamke aliyetambulika kwa jina la 'Rose' adaiwa kutekwa maeneo ya Mlimani City

    Duuuu,,Bado upo nyuma sana ,pole
  12. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana uchungu sana na Nchi kuliko wananchi wenyewe!

    Mkuu upo sahihi , mhe rais Samia kwa upande wangu ,namtazama kwa sura tatu 1.wakati akiwa makamo na mwanzonii anapishwa- alikuwa msikivu na mwenye maono 2.katkati baada kuwa rais - Alikuwa mkari kama pilipili ukinizingua nakuzingua 3 .Samia wa sasa - kawwa mtulivvu Maghufuli...
  13. R

    JamiiForums Tanzania SISI BAADHI YA VIJANA TUACHE NGONO NA ULEVI KUPINDUKIA AKINA MAMA MIKOPO INAWAMALIZA

    Kuna tatizo lipo na ni kubwa lifanyiwe kazi Ndugu zangu naanza na SISI vijana Baadhi ya SISI vijana tulio wengi tumekuwa wazinzi ,walevi na wavivu wa kufanya kazi si Wana wake wala wanaume Ulevi- nani kakwambia ulevi unaondoa mawazo ?hyo buku mbili ya dable kiki 2000 mara mwezi ni 60,000...
Back
Top Bottom