Baadhi ya majina ya kinyakyusa na maana yake
Suma- Omba
Mboka- Niokoe/nisaidie(Eeh Mungu)
Lusekelo- Furaha
Kiswigu- Mshangao
Aliko- Alikuwepo(Neno/Mungu)
Atupele- Ametupa(Mungu)
Tupokigwe-Tumeokolewa/tumesaidiwa/tumekombolewa (Bwana Yesu)
Atuganile- Anatupenda(Mungu)
Lumuli- Nuru
Lusako- Bahati...
Watu tunasafiri kwa bus zaidi ya masaa 12-18 lakini hatujisaidii kwenye bus,tunafuata utaratibu, anyway tuweke utani pembeni-mimi nina mbwa mdogo wa miezi minne alikua fala sana kipindi namchukua kelele kulalamika hovyo mpaka kero kwa majirani, pia akawa anajisaidia hovyo bila utaratibu bandani...
Kuna mbuzi wa dizaini hiyo Tabora mjini, kali zaidi kuna mbuzi alikuepo Ukonga Dar sijui kama bado yupo, mbuzi anaenda kwa mama ntilie na kupora chapati mikononi mwa mteja halafu anakula...
Kweli nimeamini duniani wawili wawili sio tu katika kufanana sura, basi hata kufanana mawazo, nimekua nikiwaza mawazo hayahaya kuhusu Tamasha la Kizimkazi- Kwanini? Faida zake?Kwanini viongozi wengi wa serikali wapo huko? Vipi wasanii wetu? Kwanini Kizimkazi inataka kuwa kama Dhifa au Sherehe ya...
Mimi viganja vyangu vyote vina alama ya herufi M, kwenye swala akili na uwezo wa kupambanua mambo najikubali Mungu amenipa uwezo Mkubwa sana, huwa nawazoom Tu watu wanavyopata ugumu kuchanganua mambo tena wakati mwingine mambo mepesi kabisa, tukija kwenye swala la utajiri mmh! bado nasubiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.