Recent content by Robert michael II

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mwanaume hodari anajua kumdekeza mke/Mpenzi wake

    Kuwa uyaone
  2. R

    JamiiForums Tanzania Heche Aache Janja Janja . Ajibu Mpaka Sasa Amepokea Kiasi Gani Cha Pesa Kupitia Akaunti yake Binafsi na Zipo Wapi?

    Nahisi mkuu ya Chadema ungewaachia wenyewe, dili na mafanikio ya Rais
  3. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu: Wakandarasi warejee site

    Wakandarasi wote wanapenda kumaliza kazi zao kwa muda, ukiona mkandarasi hayupo site na alipatikana halali ujue ni pesa hajalipwa kwenye certificates zake.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Thamani ya kwacha ya Zambia imeongezeka kwa 37% kulinganisha na Tshs kwa kipindi kisichozidi miezi 10 iliyopita

    Wachangiaji wenzangu , ningeomba mpate muda kuangalia sarafu ya Japan na ya Kenya.Pia mpate muda kuangalia chumi za hizo nchi mbili.Tena mrudi kuchangia maana mtapata wasaa mzuri kupata uelewa wa mwenendo wa sarafu na uchumi kwa ujumla.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Leo wafuasi wa CHADEMA hawajalala wamekesha jukwaani. Kuweni makini siasa zitawapa hypertension Tanzania is very strong than ever

    Je, utekelezaji wa maendeleo kwa viongozi kwa wananchi Rwanda upo Sawa na hapa kwetu?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Shigongo kupeleka Mahakamani sakata la "unyonyaji" wa Internet katika Bando la Mitandao ya Simu

    Hoja hiyo haifiki kokote, wenye hisa kwenye hizo kampuni ndio hao hao viongozi na wengine watengeneza viongozi.
  7. R

    JamiiForums Tanzania PPPTZ: TANROADS yatangaza miradi 6 ya barabara za PPP zenye urefu wa km 969

    Na njia hiyo ni shida, ma icd yao yalivyojaa mjini
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kwa Heshima Kubwa, Dr. Leakey Tuna Ombi Moja Tu: Anzisha Podcast Yako

    Huyo mzee na mwenzie Issa Michuzi walitufanya tupende kuangalia ligi kuu ya Uingereza wakati huo wa station ya Dtv
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ole wenu viongozi mliobadilisha sheria ya madini

    Tuendako mbona kuna giza nene kama hili jambo ni kweli.
Back
Top Bottom