Pole sana! Kwa exposure uliyoipata huko hukutakiwa kuongea kitu kama hiki ila yawezekana Kuna mapungufu mengine.
Kuna vijana wanatamani wapate mfadhili kusoma degree tuu na iwatoe(na hawatarudi kwa sponsor kulalamika kuwa nimemaliza shule nipe kazi). And for most smart guys asingekuwa hapo...
Nadhani njaa ya 1980's yawezakuwa chanzo cha kudumaa kwa akili zetu (kuanzia wazazi wetu hadi sisi tuliokuwa watoto enzi hizo, yawezekana yale mahindi ya njano kutoka nje yalikuwa yamewekwa dawa ya (Upungufu wa akili).....haiwezekani Mtanzania unayejitambua, unasoma mada yenye hoja za msingi at...
Ni hatua nzuri, kwa kuanzia Bitumen standard sio mbaya, Nipongeze nia ya serkali kama ni ya kweli. Nitawapongeza zaidi pindi mradi utakapotekelezwa, Nimepita Barabara hizo Nov 2016 zina hali mbaya sana, na zinawagharimu sana wananchi hususani muda na pia wamiliki wa vyombo vya moto (Njombe -...
Yawezekana ni ushamba wangu au umri, binafsi baadhi ya vipindi vingi vya Clouds FM sioni maudhui yake na faida chanya za kuijenga jamii yetu na kwa maendeleo ya taifa. Nadhani wangepewa nafasi ya kupromoti sanaa tuu, vingine waachie wengine
Dr pole na majukumu ya kila siku ya kuitumikia jamii! Naomba msaada wako Dr...
Kuna vinyama au niviite vipele vinaniota kichwani (upande wa kilia wa kichwa karibu na sikio la kulia) taratibu na huwa vinaongezeka taratibu sana, toka nimetambua ni kama miaka mitatu sasa(Hakuna maumizu nayopata...
Bora niendelee kupanga, na ningejua ndivyo hiyo pesa ningeongeza mtaji kwa biashara yangu ningepata pesa zaidi ambazo zingenipa uhakika wa kilipa kodi, leo nimezika pesa chini, nabaki na hasira kama vile nilitumwa kumbe ni dhamira nzuri ila mipango mibovu
Nilianza msingi Mbezi, January 2016 kwa saving zangu za 2015(I had 10M), (enzi za mjomba) hadi namaliza msingi na kumwaga jamvi 9.2M ikawa imekwenda, niliamua kuacha, pesa sina (enzi hizi za hapa kazi tu) na sijawah kufika site since Feb 2016
Eeeh Mungu wanusuru watoto na kizazi chetu kwa janga hili. Utandawazi ni mzuri sana ila una gharama zake kubwa, miongoni ni hizi, pia wazazi tunachangia coz kuna mambo mengine watoto hawajifunzi kwa TV bali kutoka kwetu(either kwa kusikia/kuona/kuambiwa) tujiheshimu na kuwaheshimu watoto. Sio...
hongera, Mimba ni ya Rafiki jion!
Facts, naamini hujaoana na huyo bwana karibuni(i mean kukutana) na huo sio mzunguko wa kwanza kukutana na hubby, it means ulikuwa unakutana nae mara nyingi na hukubahatika kupata ujauzito, na rafiki hukuwah kumpa kipindi ukiwa danger zone, now alipata hiyo fursa...
Hii ni bodi mpya ambayo aliiteua JK 29 october 2015, ikazinduliwa na dr Tizeba!
Japo Prof aliendelea kuwa mwenyekiti sina hakika kama TULIA alikuwa mjumbe wa bodi iliyopita, kama No, ana miezi miwili kwenye bodi na sina hakika kama wameshakaa vikao vingap kwa muda huo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.