Recent content by Robert.emma

  1. Robert.emma

    Kamati kuu CHADEMA angalieni Huu ushauri

    Naongezea mpaka sasa hivi nguvu ya ccm iko vijijini naomba kwa nguvu kubwa ihamie vjijini ili watu waelimishwe wajitambue maana wameshatishwa sana kuwa wakichagua upinzani kutakuwa na vita hivyo tukiweza kuwatoa hiyo hofu ukombozi U miknoni mwetu iwe kazi rahisi 2015 tukiweza huko ni kazi rahisi...
  2. Robert.emma

    Nape Nnauye atoa Tamko Maalum la CCM kuhusiana na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini

    Changamoto gani wewe acheni kutuhadaa kwa ngonjera zenu ccm nina hasira na nyie huna hata aibu eti mnaangalia changamoto za wananchi itafahamika msitufanye mazezeta enzi zimepita someni alama za nyakati case study iwe huu uchaguzi serikali za mitaa@mwanadiwani
  3. Robert.emma

    Hivi Dr.Slaa hawezi kuwa mmoja wa wazee wa Dar-es-salaam?

    Lizaboni unachafua hali ya hewa kalale tu.
  4. Robert.emma

    Membe: Ngeleja ni tishio urais 2015

    Jamani ivi kweli kuna watu km hawa Tz anamuingelea Ngeleja yupi huyu? Ila mu naona ameleta huu uzi ili aone watu wanasemaje na yawezakuwa ni ndugu wa ngeleja hivyo nimwambie tu aende akamwambie ndugu yake asijaribu hata kujisumbua,alikuwa waziri nishati na madini Kang'atuka kwa kashfa,esrow yumo...
  5. Robert.emma

    Kabila gani zuri jamani la kuoa?

    Kwa sasa una umri gani na unafanya kazi gani nijibu hayo afu Nakula jibu wewe unayetaka kuoa.
  6. Robert.emma

    Mambo si shwari tena Tanzania vs USA

    Hakuna kiongozi wa kuifanya Tz ikaheshimika labda kuanzia 2015 nae anatakiwa awe na mcmamo hapana yake iwe hapana but km ni hapana huku anatabasamu tutaendelea mke wa waume zaidi ya mmoja mbsya zaidi unaginganisha wanaume ambao hawapendani ni shida Mungu aingilie kati kwa kutipatia kiongozi...
  7. Robert.emma

    CCM waleta vurugu kwenye Kongamano la taasisi ya Mwl/Nyerere, Makonda ahusishwa kumpiga Warioba

    Umelogwa wewe unaesema chadema wanaleta vurugu kichwa mbovu sana acha M4C ichanje mbuga.
  8. Robert.emma

    Slaa asema uongo tena, atangaza kuibiwa kura 2015 na kushutumu ununuzi wa Helkopta ya Rais

    Jinga sana Mwampamba na dawa yako 2015 pale Wazee wa M4C watakapochukua nchi.
  9. Robert.emma

    Madaraka Nyerere: Kuondoa vifungu vinavyo wabana viongozi kwenye katiba mpya sio kumuenzi Nyerere

    Inakera sana haya ma-ccm shida,eti Chenge kamati ya uandishi wa katiba badala ya kuandika katiba ya wananchi kaandika katiba ya kujilinda ma-ccm 2015 ndo suluhu.
Back
Top Bottom