Recent content by Robert edo

  1. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Sheria mpya za madini hazitahusu migodi inayoendelea

    Sheria kwa mtanzania masikini inarudi nyuma, lakini kwa mwekezaji wa kithungu sheria hairudi nyuma.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Majina ya Rufaa NECTA yametoka, angalia hapa

    [emoji15] [emoji15]
  3. R

    JamiiForums Tanzania Lowassa na Sumaye mlikuwa wapi wakati mikataba ya madini inapitishwa?

    Mi naona Lowassa na Sumae watatusaidia kutupa picha halisi ya hiyo mikataba ilivyo kuwa na ushauri wa nini kifanyike kwa nyakati hizi.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tutanyolewa bila maji suala la mchanga wa madini, tusikurupuke

    Serikali Imtumie Lisu afanye mikakati ili Tanzania ijitoe MIGA.
  5. R

    JamiiForums Tanzania NECTA na TIE ni tatizo kwa Elimu yetu

    Safi Mdau, NECTA na TIE fanyieni kazi huo ushauri please.!
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hatimae uhamisho wa watumishi kuendelea rasmi

    Politics hizo
  7. R

    JamiiForums Tanzania Serikali kutoa ajira mpya za watumishi 52,436

    Politics tu hapo
  8. R

    JamiiForums Tanzania Sheria inasamaje kuhusu kulipwa au kudai fidia?

    Je kuna kikomo?(time limit) ya kudai au kulipwa fidia au inawezekana tu kulipwa au kudaiwa kwa muda wowote? Wadau wa sheria msaada Tafadhali.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Watumishi hewa: Kompyuta yenye rekodi yaibwa, wakopa benki kwa majina hewa

    Pia huko chuoni kuna majipu. Unakuta mwanafuzi analipiwa na bodi ya mikopo anapoacha chuo mkopo wake unaendelea kuja.sasa sijui ni nani anaipokea iyo pesa...??
  10. R

    JamiiForums Tanzania Yupo Mfanyakazi wa 1391, hamtaki tu kumtaja

    Ataisoma namba
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kutumbua majipu na future ya Tanzania

    Mwarobaini ni upi sasa zaidi ya katiba?
Back
Top Bottom