Lundavi
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 327
- 323
Kwa mujibu wa maelezo ya waziri mwenye dhamana katika wizara ya TAMISEMI Mh. Simbachawene yaliyotolewa tarehe 20/4/2017 bungeni, uhamisho wa watumishi wakiwemo wanandoa ni haki ya msingi.
Hivyo maafisa utumishi wanaozuia watumishi kuhama wanakiuka taratibu na sheria zilizowekwa. Waziri wa utumishi pia amesisitiza kuwa zoezi la uhakiki wa watumishi limekamilika ambalo kwangu ndio nilikuwa naona kama ni kisingizio kikubwa cha uhamisho kusitishwa.
Conclusively; Naona Kundi kubwa la watumishi tukihama vituo tulivyokuwa hatuvipendi na kwenda kuchapa kazi kwa ari na kasi kubwa huko kwenye maeneo tunayoyapenda huku tukiwa karibu na familia zetu.
Source; Mpekuzi.