Recent content by ROBEPANA

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mahari na nafasi yake katika ndoa... Je, utamaduni huu umepitwa na wakati?

    Ambacho huwa kinanishangaza mimi ni huwa wanasema mahari ni zawadi kwa wazazi wa binti. Je, mtoto wa kiume yeye hana wazazi wa kupewa zawadi au yeye hajazaliwa kama walivyozaliwa mabinti?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kanitumia picha zake, nitafungwa na sheria mpya?

    aisee....! kazi kweli kweli.......! kilichokuchanganya ni kwamba hizo picha km atakuwa anatumia na wengine au sheria juu ya picha hizo...!
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mwandae mwanao awe na akili darasani na katika maisha yake ya baadae

    Ni somo zuri ila gumu kuelewa!
  4. R

    JamiiForums Tanzania Makonda achana na gwajima, shughulika na yanayokuhusu.!

    Kutojua majukumu yake na mipaka yake ni hatari sana,kuna siku atakuja kusema kuwa watu wake wote wa manispaa yake wawe wanaripoti kwake asubuhi ndo waendelee na yao.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Somo kwa akina dada wa kileo

    mwasilishaji kama anasukumwa na kitu fulan hivi kilichomsibu, pole maana si lazima utuambie.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume/kina baba - wanawake someni mkawashauri wenzi wenu

    maneno kuntu dada, imagine wengine hata kupiga simu kwa mama zao kuwajulia hali kwa siku ni kazi ila mchepuko kila dakika simu au sms kutaka kujua anafanya nini ila si mama yake aliyemfikisha hapo alipo
  7. R

    JamiiForums Tanzania Jana nilimwota mwana JF wakati nalala

    sometimes tuwe tunaangalia hata coments tu za mtu zitakutambulisha kuwa ni me au ke hata kama humu ndani watu wanatumia id na avatar feki, unatakiwa umtake radhi nasdaz aisee kwa hili.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Huyo sio size yako, Itakupwelepweta bureee! Kuku wa Kizungu Mchinjaji hana kazi, yamcost

    KikulachoChako Aisee huwa nafurahishwa na coments zako siku zote huwa zimejaa busara ya hali ya juu, hongera
  9. R

    JamiiForums Tanzania Play your roles as a man uone kama utaomba kuheshimiwa

    Hapo sasa itategemea mtu na mtu.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Play your roles as a man uone kama utaomba kuheshimiwa

    Hahahahah !ila kuna kaukweli kwenye haya maneno.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Play your roles as a man uone kama utaomba kuheshimiwa

    Kwa mantiki hiyo haya maneno yana ukweli wake.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Play your roles as a man uone kama utaomba kuheshimiwa

    Nimeendelea kuuliza kwa sababu sikupata jibu mwenyewe naomba kusaidiwa na pia inaweza kuwa somo kwa wengine
  13. R

    JamiiForums Tanzania Play your roles as a man uone kama utaomba kuheshimiwa

    Habari wana MMU NI jion hii nikiwa narudi kutoka kazini ndani ya daladala nimekaa na msichana ambaye anaonekana kujijibishana na mtu kwenye simu yake ambaye nilihisi ni mume wake au boyfriend wake kuwa "Play your roles as a man" uone kama utaomba kuheshimiwa badala yake heshima itakuja...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Tafiti: Wanawake wenye makalio [hips] nene huzaa watoto wenye akili sana

    sina tako nina kalio mkuu, kwa hiyo kukaa nakaa kama kawaida
  15. R

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kukatisha mahusiano

    Jamani mkubali msikubali hakuna njia hata moja ambayo haiumizi, labda tu iwe hamkupendana kwa dhati. yote katika yote kukatisha mahisiano kunaumiza sana.
Back
Top Bottom