Recent content by Robbydm

  1. R

    Kama haujaoa au kuolewa soma hapa na wengine ruksa kuwashauri

    Upo sahihi, ndoa ni muunganiko wa kiroho, kimwili na kihisia, chochote kati ya hicho kisipokuwa sawa, hilo gap lazima kipatikane kitu mbadala cha kuziba Sent using Jamii Forums mobile app
  2. R

    Spika Ndugai: Lissu hana kibali cha kuishi nje ya nchi, amtaka arudi mara moja Tanzania

    Uhai wa mtu una thamani kubwa kuliko pesa, tutangulize utu kwanza mbele, kwa sababu vyote tulivyonavyo ni vya muda tu, na wala havipaswi kutufanya tuwe na kiburi ama kutumia nafasi zetu vibaya Sent using Jamii Forums mobile app
  3. R

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Hapana mkuu, nimetumia driver pack solution na nyinginezo, hiyo website ya Intel siijui, km hutojali unawezanisaidia hiyo link! Na kwa movies ni videos ninazoplay zote ni HD
  4. R

    Dr. Louis Shika ni fursa tumtumie

    Ha haa! Dr Shika amewashika kweli
  5. R

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Habarini, asante sana kwa mleta uzi! Nina shida kwenye laptop yangu, ni Dell E6410, i5, RAM 4GB, Processor 2.67Ghz, HDD 320, Windows 10 Pro! Lakn ninapata shida moja, kila ninapo-play videos au movies zina-stuck/jam, nilidhania ni tatizo la graphics, nika-update, lakn tatizo bado liko palepale...
  6. R

    Kama simu yako ni original chora huu mstari

    __________________
  7. R

    Nafasi za kazi USAID Tanzania

    Thanks brother
Back
Top Bottom