BRN Big Risult Now....we hujui?? Alafu mnamshabikia ZZK atuharibie motion ya kuwaletea watazania ahueni katika maisha. Kwa uzembe huu wa ushabiki wa kipuuzi hadi tufike 2015 ambapo kutakuwa na BRRN Big Risult Right Now Tsh10000 itanunua only 2Units za umeme. Watanzania tuache uzembe CCM must go...
Too bad ni kwamba mim naishi jimboni kwake, yani kwa miezi miwili niliyokaa hapa nishakomboa watu zaidi ya mia mbili pasi kufanya mkutano wa hadhara!!! Yeye atafute kazi nyingine ya kufanya huku hana lake tena
Yan mm nadhan nakahate zaid ya sana....mbabaishaji wa hali ya juu, jifunzeni sasa mkiona watu wa karibu na na mtu fulani wanaanza kumchukia huyo mtu, basi huyo mtu ana mapungufu
Robbins
Sidhani kama kuna mtu mwenye haja ya kumjua kilaza kama wewe! Mgumu kuelewa sijui ulikuia na uwezo gani wa kumeza tangu shule hadi chuo??!! Presentation ya Lema ilikua inaeleweka sana na kwa akili ya kawaida huwezi kuitafsiri kipuuzi kama ulivyofanya. Poor you!!
AG kashamuumbua huyo ZZK wenu na subiri achukuliwe hatua za kisheria. Nyinyi mnaomlamba miguu hAta kwenye mambo ya kipuuzi mmeumbuka. Lema ni mtu muwaz na asiependa sifa za kijinga.
Kwa akili za kawaida wale wanaoitwa majambazi ukiwaangalia inaingia akilini? Wale wameokotwa tuu hukoo nchimbi anatudanganya kama watoto!! Kuliko niue ndo nipate utajiri bora nife masikini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.