Recent content by roadmaster

  1. R

    GE2025 Msigwa: Vyombo vya Habari vitoe nafasi kwa wagombea bila upendeleo

    Hivi Tanzania hatuwezi kuanzisha utalii wa unafiki!?? Yani wageni wake waone tulivyo wanafiki!?? Kuna haja ya kupanua wigo wa mapato Hasa hili eneo la unafiki
  2. R

    Watoto wa captain John Komba na nyimbo za baba Yao za kuudhihaki upinzani!! Kweli hakuna aijuae kesho yake!!

    Kweli tusiichezee Dunia!? John Komba wakati anaimba nyimbo za kuwatukana na kuwazodoa wapinzani hakikua nn kitaikuta familia yake,akidhani hiyo ndio Dunia atakayoishi yeye na familia yake!!! !! Naomba hili liwe fundisho!! Wewe ua Teka lakin Saa yaja!! " Nawavimbe wapasuke,waacheni waandamane...
  3. R

    Clement Mzize umemkosea heshima sana wakala wako, wachezaji wazawa ndio mana wengi hawafanikiwi kucheza nje ya nchi

    Elimu elimu elimu exposure exposure exposure!!!!!! Angekuwa ni kutoka Nigeria au Senegal angekuwa next level ila huyu mpe miaka mitatu utamkuta buguruni au keko au manzese ni suala la muda!! Just hold on
  4. R

    Vijana wawili walitoka 0 mpaka utajiri wa TSh 1.95 trilioni kwa BIASHARA ya KINYOZI.

    Habari za tajiri muulize masikini utazipata vzr sana
  5. R

    GE2025 Walichomfanyia Ummy Mwalimu ni zaidi ya kiini macho

    Kama Hana kazi aende veta
Back
Top Bottom