Baba levo ana ushamba wa uongozi na sifa kama kawaida ya waha ,yaani alivyokuwa anaongea na jamaa wa TRA wao wameongea vitu vichache tu ila yeye sasa mara elimu yake ,mara CCM,mara Mama Samia hatambui izo kodi ndio yeye zinamlipa na kosa jingine ni kuingilia kesi ambayo haimhusu ata kama...
kuna demu mtaani nilipewa namba yake kumcheck nikamtongoza akaniambia atanipa jibu na kizinga juu cha vocha baada ya kutuma nikaanza kuitwa kipenzi ata siku za jibu kufika na vizinga vya 5,000 5,000 mwisho wa siku anataka simu ya mkopo nimpe kianzio cha 20k sikulaza damu wala kuleta uboya...
vitoto vinaendekeza pesa sana na sahivi kuna usumbufu wa kulipia simu za mkopo na wengine wanatoa k kisa kianzio cha simu za mkopo,na wasumbufu balaa kila muda vinataka pesa ili simu zisifungwa,ni janga kwa taifa yaani sahivi simu tu za mkopo tupo hapa sijui tukifika gari na nyumba za mikopo...
true taasisi zenye mapato mengi na ya huakika wanastahiki kibao nje ya mshahara na saccos ni mwendo wa kulipana tu na bado ub adhirifu na ndio zinafanya watumishi kunata maana gharama za maisha kuzimudu hawana wasiwasi,hapo umesahau na kuna taasisi sio maarufu ila zinampunga hapo TRA ,NSSF,PSSSF...
salary advance ni kama madawa ya kulevya au pombe ukishaingia kuchomoka ngumu sana ,watu wanapiga simu bank balaa kuulizia salary advance naskia shida ni mfumo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.