Recent content by Rmma

  1. Rmma

    Simbachawene: Marufuku maafisa Utumishi kuzuia uhamisho wa wanandoa kazini.

    Haya matamko yangekuwa yanasimamiwa yangekuwa yanaleta tija lakini viongozi wetu wanatoa matamko ya kufurahisha watu na kutaka waandikwe kwenye kurasa za mbele za magazeti.
  2. Rmma

    Budget 2016/17 Day One; Kutokuwepo Wapinzani Madhara Yaonekana

    Kwani Lusinde hakuwapo bungeni ili abaini udhaifu huu?
  3. Rmma

    Ushauri: Nina mimba ya mume wa mtu

    Pumbafuuuuuuuu.......
  4. Rmma

    Natafuta decoder ya Azam tv

    Naomba kwa anayeuza decoda ya azam tv anitafute kwa no 0653137555,yangu imeungua na dukani hawauzi decoda peke yake.Nipo Kilombero Morogoro.
  5. Rmma

    Adapter ya computer Asus inahitajika

    Wadau adapter yangu ya computer Asus imeungua.Naomba mwenye nayo aniuzie au ujuaye bei yake dukani anijuze.Asanteni.
  6. Rmma

    Mwenye CD ya window 10 au 8 anitafute

    Siku si nyingi nitakuja huko Dar nitakutafuta.
  7. Rmma

    Mwenye CD ya window 10 au 8 anitafute

    Upo wapi? Mimi nipo Kilombero nahitaji huduma hiyo.
  8. Rmma

    Mungu nisamehe, nimekula kuku na mayai yake

    Duuuuuu....umetisha kaka,angejipendekeza na bibi yake naye ungemlamba.
  9. Rmma

    Rais Kikwete anavunja Baraza la Mawaziri lini?

    . Mbona miaka mingine kwa kipindi kama hiki huwa baraza limevunjwa? Je,shughuli za serikali huendeshwa na nani?
  10. Rmma

    Rais Kikwete anavunja Baraza la Mawaziri lini?

    Habari zenu wakuu? Naomba mnifahamishe na kunijuza ni sababu zipi za msingi zinazomfanya mkuu wa nchi kutovunja baraza la mawaziri hadi leo.Ikumbukwe kuwa zimebaki siku nane tu serikali mpya ichukue madaraka.Najua hapa jamvini kuna wanasheria watanisaidia ktk hili.
  11. Rmma

    Nikiwa kwenye foleni ya kupiga kura nitakumbuka yafuatayo

    Unyanyasaji wa bodi ya mikopo.
  12. Rmma

    Jinsi ya ku-unlock modem ya vodacom

    WAdau naombeni msaada jinsi ya ku-flash modem ya vodacom model K3772-Z na IMEI 866055013296832,nisaidieni wakuu.
  13. Rmma

    Mke wangu hataki nimguse.... msaada

    Nenda Buguruni kwa Kimboka na Tsh 2,000/=
  14. Rmma

    Msaada: Jinsi ya kupata mafao ya PSPF

    Wadau naombeni mnisaidie jinsi ya Kupata fao la uzazi linalotolewa na mfuko wa PSFP ambalo wanasema ni 130% ya mshahara.Nasubiria majibu wakuu.
  15. Rmma

    Nataka kujua bei ya kiwanja Chanika

    Wadau naombeni kujua bei ya kiwanja chenye ukubwa wa robo heka maeneo ya Chanika.Je,naweza kupata kwa shilingi ngapi?Nisaidieni wadau wenye kujua.
Back
Top Bottom