Mungu nisamehe, nimekula kuku na mayai yake

mbna poa tu....kwani una mark yoyote kuonyesha umefanya hlo tukio... kama hakuna hyo ni FAIR PLAY
 
Haya mambo sijui yakoje. Kuna jamaa mwingine maeneo ya tanga alikula mayai matatu na mtagaji.
 
Yaani hata huku mtaani kwetu watu wanawasha ITV wanamwangalia rais mtarajiwa Lowassa na uzuri hatuna shida ya umeme, wakiukata tu, jenereta, sola zinaamsha, piiiiiipooooozzzz..!!!
 
nimeacha mama

Kama una miaka 30 mama yako mzazi ana 50 kama huyo mama uliyemgonga.
Mdogo wako wa kike naye ana 20 years. Kuna rafiki hapo mtaani kwenu ANAKUPIGIA MOTHER WAKO NA SISTER WAKO YULE WA IFM.
Na ukioa MKEO lazima akatwe na vijana wa kitaa.
Ndio raha ya malipizi.
 
Swadakta
 
Sasa Hapo Mungu Anaingiaje?! Katika Ubazazi Ulioufanya!? Japo Story Ni Ya Kusadikika
 
ngojea JOGOO lake nalo likukule halafu tuone kama nalo likiomba msamaha kwa mungu kama ulivyofanya..je utafaidika?
 
Sali Baba yetu 80 na Rozali mara 20...Usizini tena...Mungu ni mwingi wa Rehema na kwa mamlaka niliyopewa na............+
 
Mama age yako +20 mtoto age yako -10 kwa hiyo tofauti ya mama na mtoto (yaani umri wa mtoto) ni kama 30 yrs. Ulisema anasoma wapi?
 
Back
Top Bottom