Recent content by rmjusi

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi ya Burundi inapenda sana 'Kujibebisha' kwa Tanzania tofauti na Rwanda inayopambana yenyewe Kimafanikio?

    acha roho mbaya jirani yako ndio ndugu yako
  2. R

    JamiiForums Tanzania Watoto wengi hufanyiwa ukatili na watu wanaowaamini

    Ungetafsiri na sisi tusiojua ki english tuekewe !
  3. R

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuishi na kiongozi(bosi wako)akiwa dikteta

    utii ukizidi huzaa uoga na uoga ukizidi huzaa unafiki (according to mwalimu nyerere) Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
  4. R

    JamiiForums Tanzania Naomba tuongee UHALISIA kuhusu biashara ya Real Estate kutumia mfano HAI

    hii pia ni kichaa kuandika ni rahisi lakini kwenye uhalisia ni tofauti labda uwe dereva mwenyewe ukiwapa madereva wakuletee hesabu utajuta Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
  5. R

    JamiiForums Tanzania Basi la Africa Raha Express (T 382 DCS) latelekeza abiria sheli

    siwahi kuona mtu waajabu kama wewe abiria ulie panda hilo basi! yaani umesema kabisa yakuwa gari limeharibika halafu unataka likufikishe stand kivipi haujiongezi tu yaani hiyo alfu10000 yako inatosha matengenezo ya hiyo gari subiri gari itengenezwe ndio safari iendelee unajua bei ya hiyo gari...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kujiajiri ni utumwa zaidi ya kuajiriwa, waliojiajiri wengi wanakosea kujiweka kundi moja na wamiliki wa biashara

    hiyo ni ratiba tu ya kufanya kazi kama mtumwa ili uishi kama mfalme utumwa ni pale unapopangiwa na bosi wako kazi ambayo hauipendi lakini kwa njaa zako unalazimika uifanye tu mfano mimi miaka mnne iliyopita nilikuwa dereva wa bajaj ya mkataba nilikuwa naamka SAA 11 alfajiri mpaka saa4 usiku...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Maisha hayana formula lakini yana Siri nyingi chukua hizi 11 Kama zitakufaa

    hiyo no3 kama nimeielewa vile ila hizo zingine porojo Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mbingu zote zitafunguka Russia

    Ukraine ipi tena wakati soon inaenda kuwa jimbo la urusi Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ikulu imerudi Dar, kuhamia Dodoma zilikuwa fikra za kijinga

    wewe hii yakutolala chamwino inakusaidia nini Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ukoo wetu wote ni masikini. Naombeni ushauri Nawezaje kukata huu mnyororo wa umaskini?

    usiishie kwenye ucha Mungu tu ongeza na kufanya kazi kwa bidii na maarifa pia ishi kwa malengo na heshimu unachokipata Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika baada ya binti kufariki kwa kung'atwa na nyoka kwenye makalio

    Nyinyi wote hapo ni watoto wa mama
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana mwenzetu anapoteza muda kwa mama mkubwa zaidi yake

    atakuja mwenyewe hapa kusema anachokitafuta
  13. R

    JamiiForums Tanzania Je, wajua herufi Z inatumika kuunga mkono Urusi kuipiga Ukraine?

    yes! Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom