Nimesikitika baada ya binti kufariki kwa kung'atwa na nyoka kwenye makalio

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,321
11,410
Leo imekuwa siku ya majonzi sana. Nipo na wenzangu huku Porini Singida kwenye project moja hivi. Ni week sasa tupo huku na mademu kadhaa wakali ambao nao imebidi waje huku. Huku ni porini kweli kweli tunalala kwenye tents. Hakuna nyumba.

Sasa demu mmoja aliamua kwenda kujisaidia haja kubwa kwenye kakichaka flani hivi. Actually huwa tunamwambia asiende mbali sana. sasa yeye anajua tunamwambia asiende mbali sana ili tuweze mchungulia makalio yake makubwa. maana ni kweli akichuchumaa yanatawanyika kusini na magharib. lakini sisi tulikuwa tunamwambia kiroho safi asiende mbali kwa kuwa porini si salama sana na kule kuna vichaka zaidi si kuzuri.

Sasa leo kaenda kunya kumbe anachuchumaa hivi kumbe pale chini kuna nyoka kajisaidia juu yake na nyoka kamgonga kwenye tako. yule dada alipiga kelele akikimbia kuja kwetu watu wakabaki hawajui afanyeje sasa. wanamwangalia jinsi ambavyo anajitahidi kukimbia akipandisha chupi na makalio yake yapo nje, akafika na kuanguka tulipo akilalamika kuwa kaumwa na kitu anahisi ni nyoka.

Jamaa mmoja akamwangalia, akaona kweli kuna alama ambazo alituambia ni meno ya nyoka. Sasa issue ikawa huduma ya kwanza tunampa ni ipi? maana hatuwezi mfunga kamba. ameumwa kwenye tako. Je, tumfunge kamba sehemu gani? hapo watu wanajiuliza huku wengine wakikodoa macho kutizama yule dada alivyoumbika.

Baada ya dk akdhaa hali yake iakwa inabadilika kama anakifafa. hapo tunawaza kumpeleka kijijini ambako ni kama Km 90 za rough road. yule dada ameondoka duniani hivi hivi tunamwona, yaani imeniumiza sana wadau. nikawa nawaza sasa kama ndo hivi huduma ya kwanza mtu akiumwa na nyoka makalioni au kichwani inakuaje? je unaweza mfunga mtu kamba shingoni ukakaza damu isipite kushuka chini moyoni?

Au kama kaumwa kwenye matako unafunga kamba kiunoni damu isipande juu kwenda moyoni?
 
Huduma ya kwanza ilikuwa ni kuifyonza kwa mdomo hapo alipong'atwa, sasa na vile umesema alikuwa anakata gogo nahisi wengi wenu mngeona kinyaa.

Hiki kisa kimenifanya nitafakari, endapo ingekuwa ni mwanaume alikuwa anajisaidia na akang'twa kwenye uume, na hapo unaambiwa tiba pekee ni kuinyonya sumu, je ungemsaidiaje mwanaume mwenzio au ndio ungemuacha afe?😂😂
 
20211219_202239.jpg
 
Kama ilikua ni haraka kiasi hicho inawezekana sumu aliopigwa nayo ilikua ni zile zinazoshambulia mishipa ya fahamu, ambapo hata mngemuwahisha zahanati ya jirani bado wasingeweza kumtibu.
 
Kah!! Aisee kumbe no wonder kwanini majengo siku hizi yanadondoka bila sababu za msingi kama hawa ndio maproject manager tulionao ni lazima maghorofa yajiachie kwa style hii...Mkuu upo wapi wewe na hiyo team yako ya project nije kuwakata makofi haiwezekani project team ishindwe kufanya project safety analysis hili angalau mkumbuke hata kufnya safety precautions maana mlijua fika kabisa eneo mnaloenda lina hatari ya nyoka na wadudu wakali
 
Back
Top Bottom