yaan sisi huku kwetu ndo yaleyale kuandiksha watoto tuna ambiwa mtoto anatakiwa aende na dawati au ela ya kuchongeshea dawati tena hiyo ela ya dawati apewe mwl mkuu
:confused::confused:
mimi kama katibu mkuu wa vijana jamii forums nina muombea kila siku kwa mungu apewe miaka mingine 26 kutokana nakazi anayo ifanya huyu rais wetu kipenzi cha mungu;);)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.