Recent content by ritadominic

  1. R

    JamiiForums Tanzania Housegirl amtesa kinyama mtoto, arekodiwa kwa siri

    Me nimetumiwa whatsap ucku, nashkuru ckuangalia hyo ucku, nadhani ningeota vitu vibaya sana, yani ningeota ninachomfanya huyo hg mpaka ningelia, mtoto anauma, maana nilishtuka pale alipomtupa chini, sasa limwili lote unaenda mkanyaga mtoto, jamani hawa watu. Hivi kwa hapa kwetu Tz, cjui makabila...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Madame B

    Huamini nn???
  3. R

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Madame B

    Leo ni siku yako nyingine muhimu maishani mwako, tunakuombea upate miaka mingi zaidi na zaidi, maafya tele tele, happy bday
  4. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni filamu gani ya kutisha ambayo unaikubali

    World war z mbona nayo ni horror, wala hajakosea, tena nzuri sana, itafute Kuna woman in black
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hot story

    Na hadithi yetu imeishia hapo, clap,clap ,clap
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hot story

    Umeona eeee, yaani cjui inaishaje hii story, nitatamani iwe na pt 2
  7. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hot story

    Hawezi kushtaki, maana ww unafata vigezo ma masharti, alichokuwa anataka eddy ni kuwa, kuwe na jina la mwandishi wa hyo hadithi, nawe waliweka, hakuna tatizo mkuu, tupia nyingine za kupatia usingizi, big up Nyaluhusa87
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hot story

    Dah!! Hola
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hot story

    Tena katuweza haswaaaa, ya kulalia jamani google, japo 1, hata nikishtuka saa 9 nitasoma
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hot story

    Jamani google mbona kimya? Wk end hii watu tushamaliza kazi zetu tunafanya kuchungulia uhondo lkn hamna, weka hata 5,
  11. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hot story

    Tuwekee moja ya kulalia, na moja ya kuamkia
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hot story

    Endelea kutupa uhondo zaidi
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mjamzito kupata kichefuchefu na kutapika: Chanzo na tiba yake

    Kichefuchefu hakina dawa hasa kwa mjamzito, ni hali ya kawaida kabisa, labda useme kutapika
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mtumie member yoyote Dedication ya wimbo unaoupenda

    It must have been love-Roxette, kwaaa kwaa.........
  15. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama wewe ndio huyu doctor ungefanyaje ...!?

    kula tano, mimi mwenyewe nilitaka kuandika hvyohvyo, maana op si chini ya lisaa limoja
Back
Top Bottom