kichungwaa
Member
- Oct 21, 2014
- 70
- 15
Aiseeeeee bonge la storyyyy
Yani miguu na mikono kwenye viungio kunatekenya kama vile eddy anakamatwa
Aiseee umetuweza mkuu
Tena katuweza haswaaaa, ya kulalia jamani google, japo 1, hata nikishtuka saa 9 nitasoma