Recent content by RISCA

  1. R

    Jamani kuapply kazi serikalini na Masters ni kosa?

    field ya administration kote BA na MA.....Highest level Masters in Business Administration (MBA)......
  2. R

    Jamani kuapply kazi serikalini na Masters ni kosa?

    mmmh thanks much kwa ushauri wako.nice one..nitayafanyia kazi yote hayo muhimu.thanks more
  3. R

    Jamani kuapply kazi serikalini na Masters ni kosa?

    nimeomba nyingi tu sijafanikiwa.. and kwenye Goverment kazi za Masters ni zile kubwa zinaitaji uzoefu miaka mitano..na mimi sina experience niliunganisha from BA to MA.....so huwa sipotezi muda kuapply hizo kubwa kny Goverment
  4. R

    NImeanza kutowaamini PSRS/Utumishi/Ajira

    mimi ndio hata sijawahi kuitwa kwenye interview huko tume ya ajira.. siku nikiitwa nitazimia kabisa
  5. R

    Jamani kuapply kazi serikalini na Masters ni kosa?

    ni mbaya sana kufanya Masters bila kuwa na experience ya kazi...mimi nimekwama kabisa nipo hoi sijui pakwenda kila sehemu nakataliwa
  6. R

    Jamani kuapply kazi serikalini na Masters ni kosa?

    basi imekula kwangu kaka
  7. R

    TPA vipi?

    uongo mtupu ni kukatisha watu tamaa tuu
  8. R

    Jamani kuapply kazi serikalini na Masters ni kosa?

    Jaman nimeaapply sana tume ya ajira na Masters lakini nimeishia kutoswa kila,juzi hadi nimeapply nafasi ya afisa tarafa lakin najua nitapigwa chini tu.wenye uzoefu na serikalin naombeni msaada nini tatizo kama unaomba kazi kwa Masters? Note.. nafasi ninazoomba ni hizi za first degree za tume ya...
  9. R

    TPA vipi?

    Wadau kuna kipindi jamaa walitangaza kazi pale Bandari..vip mbona kimya? Au watu wameanza kazi tayari
  10. R

    Nelson mandela university

    Hawa jamaa walitangaza kazi,miezi miwili imepita sasa wapo kimya au ndio; Only short listed candidates will be contacted
  11. R

    Tbc wachovu kweli

    Yani kwenda live Mwanza tu wanashidwa..full wachovu
  12. R

    Shortlisted - Nelson Mandela , Arusha

    kile chuo hakitegemei hela kutoka serikal ya Jk
  13. R

    Feedback za nelson mandela - arusha

    I think itakua bado mapema sana sasa hivi..deadline si ilikua juzi tu hapo
  14. R

    Bot vipi?

    thanks
  15. R

    Bot vipi?

    no kimemo.qualification ninazo
Back
Top Bottom