Recent content by Risa

  1. Risa

    Vifaa na vitabu muhimu vya advance pamoja na bei uliza hapa

    Habari Snipa Samahani naomba unisaidie bei ya vitabu vifuatavyo: 1. Chemistry general with physical chemisty 2. Organic Chemistry (1&2) 3. Inorganic Chemistry 4. Chemistry Review 5. Physical Geography (Advanced Level) 6. Human & Economic Geography 6 Geography Review
  2. Risa

    Vifaa na vitabu muhimu vya advance pamoja na bei uliza hapa

    Habari Snipa Samahani naomba unisaidie bei ya vitabu vifuatavyo: 1. Chemistry general with physical chemisty 2. Organic Chemistry (1&2) 3. Inorganic Chemistry 4. Chemistry Review 5. Physical Geography (Advanced Level) 6. Human & Economic Geography 6 Geography Review naomba unisaidie nataka...
  3. Risa

    Tatizo la matiti kutoa maji maji

    kapime homon, mie mwenyewe nina tatizo kama hilo nimepima homon nimeambiwa nina homon nyingi za maziwa ndo maana inakuwa hivyo.
  4. Risa

    Nisaidieni jaman!

    Case yako imekaa kama yangu ila mie tayari nilishapata hedhi. Mimi pia nilipata hedhi tarehee 11.10 mzunguko wangu ni siku 28 nilitarajia nipate hedhi tena tarehe 7.11, nkashangaa imepita tarehe 8,9 nimekuja kupataha hedhi tarehe 10 mimi pia nilikuwa matiti yanauma na ute japokuwa hakuwa mwingi...
  5. Risa

    Mafuta ya Alizeti nayo hatari kwa afya - TFDA

    Kha! sasa tutumie nini? wengine tumeshauriwa na madaktari tutumie hayo mafuta ya alizeti. hata siyaachi "Litakalo kuwa na liwe tu maana nimechoka"
  6. Risa

    Faida ya maembe dodo...

    Mkuu MziziMkavu asante kwa elimu unayotupatia kila kukicha hapa, ni embe dodo tu au ni maembe ya aina zote yenye hizo faida?
  7. Risa

    Kingamuzi cha Continental kwa Dodoma kina utata

    Hata huku Dar ni majanga ndugu, no signal ndo mpango wao! Cha ajabu hata hizo no zao wanazotangaza hazipatikani, hiyo email ukituma inafel sielewi wana maana gani! Bora ya hata Star times mara mia wao wanapotea wanarudi continental ni majanga yaani majanga!
  8. Risa

    Dagaa safi wasio na mchanga

    Unapatikana wapi mkuu?? mie nawahitaji hao dagaa.
  9. Risa

    Nani mkweli kati ya Wilbroad Slaa na Tumaini Makene kuhusu mikoa waliokusanya maoni ya Katiba mpya?

    Ulikuwepo na hukuona yanakusanywa, wakati huo huo wakayakusanya na helikopta lakini wakayapeleka na fuso. tuchukue lipi tuache lipi? Mbona unajimix ndugu?
  10. Risa

    Wanawake wenye Mwanya au kidoti/alama cheusi

    Siyo kweli bwana, mbona mie ninacho na sijawaona hao masmartboy.
  11. Risa

    Msaada hospitali nzuri ya masuala ya uzazi

    Umejuaje kama ana matatizo ya uzazi wakati hajapimwa?
  12. Risa

    Tuwe tunakula kila siku matango yana vitamin zote jamani kuleni hili tunda

    Asante sana, MziziMkavu, tena mimi nina upungufu wa Calcium ntajitahidi kula tango kila siku.
  13. Risa

    Mjihadhari na maji ya kilimanjaro...mengi feki

    Siku hizi kila kitu feki sijui tule/tunywe nini? mie nilikuwa nakunywa uhai ikasemekana kuna uwezekano mkubwa hayo maji yanafanywa hivyo kama unavyohisi wewe, nkaacha nikaamia Kilimanjaro sasa kumbe nako majanga!!
Back
Top Bottom