Recent content by Rilley

  1. Rilley

    Kenya wakimaliza kuvurumishana, wataikuta Tanzania imerusha satellite yake anga za juu

    Kenya tushazirusha satellite kitambo sana. Kwani Tanzania bado hamjafaulu?
  2. Rilley

    Tanganyika iungane na Kenya au iungane na Zanzibar kuunda Muungano?

    Kwani lazima Tanganyika Iungane na nchi nyingine? Kwani nyinyi wenyewe ni wazembe aje? Hamwezi kujisimamia. Sisi kama wakenya hatuwataki.
  3. Rilley

    Gor Mahia FC Vs Al Ahly FC : CAFCL | Football Torturing.

    Bora tukikutana na team ya Tanzania tunaipiga. Iyo ndio faraja yetu
  4. Rilley

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    While TZ army are breaking bricks, the Kenyan army is set to purchase SPYDER Air defense system from Israel.
  5. Rilley

    Kenya: Waliofikisha Miaka 25 na Bado Wanakaa Kwa Wazizi Wao Kuanza Kutozwa Kodi 😁😁.

    Hiyo sio kodi ni Social health insurance fund (model mpya ya NHIF) na pia wale watakaoshindwa kulipa kwa sababu zinazoeleweka watalipiwa na serikali
  6. Rilley

    YouTuber Blogger: Wanageria Wadai Hawajui Chochote Kuhusu Tanzania, Wanaijua Kenya tuu. Je Ujamaa na Kiswahili Ndio Vimetutenga na Afrika?

    Watanzania kudhania kuwa watu inje ya TZ na Kenya hawajui location ya Kilimanjaro ndicho kitu cha upuzi sana nishawai shuhudia kwenye internet. Hakuna mtalii ambaye anataka kwenda Kilimanjaro ashawai potea direction, muweke hiyo akilini wazembe nyie
  7. Rilley

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    From, hela za ndani to we were given bigger loan than you 🤣🤣 maajabu!
  8. Rilley

    Ni Aibu Kwa Tanzania Kuzidiwa na Uganda, Rwanda na Kenya Kuvutia Utalii wa Mikutano Wakati tuna Utajiri wa Vivutio vya Utalii

    Kwa mindset ya mtanzania, akiona mgeni anafikiria ni madini yamekuja kuibiwa. Kwa fikira hizi utapata wapi watalii
  9. Rilley

    Governor wa Kenya ana nguvu kuzidi Rais?

    Angalia kilichomtokea Mike Sonko Nairobi. Rais anaweza twa kaunti mfano Nairobi iliendeshwa na NMS chini ya Kenyatta.
  10. Rilley

    Ikiwa tuliukataa ukoloni, kwa nini tusiikatae na mipaka tuliyowekewa na Wakoloni?

    Watanzania hawapendi waafrika wenzao kila wakiwaona wanadhani ni madini yao wamekuja kuibiwa. Na ujuha huu unadhani utakaa uone Africa ikiungana?
  11. Rilley

    Ziara ya Ruto nchini Marekani inatufunza kwanini Hayati Magufuli aliamua kuimarisha ATCL

    labda Zambia hawana ndege la rais. Pia ujue rais hasafiri peke yake huwa na delegation, kwa hivyo wakati aina ya usafiri inachaguliwa lazima wazingatie rais atasafiri na watu wangapi. Safari zingine zote marais wa kenya hutumia ndege la rais
  12. Rilley

    Ziara ya Ruto nchini Marekani inatufunza kwanini Hayati Magufuli aliamua kuimarisha ATCL

    KQ inayopiga route ya America ina safari kila siku, we huoni ni hasara kwa ndege ya KQ kukodishwa siku nne. Hizo siku nne hiyo KQ inayopiga piga route za NBO-JFK Itaunda pesa mingi kuliko zile ingepata ingekodishwa na mtu binafsi.
Back
Top Bottom