Wewe unacho kitabu cha yashari (original) au umewahi kukiona?
Unaelewa maana ya kanisa???
Maana unachosema Roman kwamba ni kanisa unakosea,,,vitabu vya Roman Catholic sio vitabu vya wakristo wote,,,Unapoongelea injili ya baraba,,injili ya Magdalene au injili ya batilomayo Tayari kwa wakristo...