Recent content by Rikaz

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Uongozi wa Bunge yakutana Kwa Dharura

    Kwan ndyo ACACIA ndyo wameshaacha kuiba mpaka tupongezane
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, tunafanyaje juu ya Prof. Kabudi?

    Mawazo yako yapo akilin mwangu pia
  3. R

    JamiiForums Tanzania Criminals are Not very Smart! Ni Mtekaji tu Angekuwa na Uhakika wa Jumapili ya Makonda!

    Unadhan taarifa hazikutolewa polisi Hukumsikia wife wa Roma akisema wameshapita vituo vyote vya polisi Endeleea kushangaaa
  4. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Prof. Kitila A. Mkumbo kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji

    Hivi katibu mkuu c mwanataaluma kwa mana ya mtendaji Na sianapaswa aendane na hiyo ofisi kielimu Sasa hapa Maji na Saikolojia/education wap na wap
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kijiji cha Kolomije kinaongozwa na CHADEMA

    Nadhan nayeye atakuwa ameongea ziada. Cdhn kma kupost hiyo habar ilimfanya asiende kazn kwake
  6. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwele Malecela aula Umoja wa Mataifa. Kuongoza vituo vya magonjwa Afrika

    Ni porojo against fact
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

    Raha sana Wacha wafu wazikane bila ya sanda
  8. R

    JamiiForums Tanzania CCM 2020 mgombea kupita bila kupingwa imekaaje hii

    Tusipoanganlia 2020 inaweza badilika tena
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi atishia kusitisha ujenzi terminal 3

    Mi ni consultant Sio lazima walipwe wote. Tena mara nyingi serikali imekuwa na tabia ya kumlipa mkandarasi na kumuacha consultant akilimbikiza maden. Magufulu amekuja na sera yake ya kuwabana ma consultant wakidhan umuhimu wao ni mdgo. Unaweza kuta mkandarasi ameshalipwa certificate ya saba...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi FlyOver Ubungo - Machi 20, 2017: Je, Hotuba ya Rais Magufuli itamtumbua RC Makonda?

    Alafu badae utakuja kuuliza swali Hiv kwanin atuendelei?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Lawrence Masha apendekeza Mwakyembe afukuzwe Uanachama TLS

    Update Arusha. Kibatala katoa taarifa Lissu kuingia arusha saa 11. Mapokez makubwa yanamsubir
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wakili Msando akanusha kujihusisha na njama za kumhujumu Tundu Lissu

    Ni sawa kidemocrasia ila tusifanyiane figisu. Tuwe fea then twende kwenye box.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kwamba cheti chake ndio anatumia Makonda afunguka

    We jamaa naona uko busy kutetea umeanzisha thread nyingine kule ya lipumba imebuma. Ahahahaaha aisee pole ndugu
  14. R

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

    Mbowe afika kituo cha polisi hii leo kwa hiari yake hii ni kwa mujibu wa habar ya saa hii kwenye East africa redio kipindi cha drive (4.46)
  15. R

    JamiiForums Tanzania Pita hapa kama unataka kujua chochote kuhusu biashara Kampala

    Dah umenikumbusha mbali mkuu Namaiba hapo. Nimefanya biashara ya kuchukua nguo hapo "kariakoo" Ya kampala kuleta dar, at list ninaka exprnce kidgo. U can ask
Back
Top Bottom