Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 619
sasa ivi tunakaribia kutafutiwa msuluhisi wa hii nchi.Tusipoanganlia 2020 inaweza badilika tena
Hata 2025 itakuwa formality. Mshauri wake mkuu Paulo Kagey yupo tangu 1994, Wabunge wasipoirudisha nchi kwenye mstari hii, sijui tutakimbilia wapi.Uchaguzi ni 2025 Uchaguzi wa 2020 ni formality tu