Recent content by RIKAB

  1. R

    JamiiForums Tanzania Ajira

    waliopangiwa ajira Oct 7,2015 kwa katibu mkuu wizara ya fedha kuriport Lin???? Vip barua za kureport ,utumishi wanatuma baada ya muda gani???? Update tafadhari
  2. R

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kazi zilizotangazwa na TBS

    :A S check_03: Kwa mwenye taarifa kuhusu ajira za TBS zilizotangazwa mwenzi january 4,2015 kama wamesha sahili walioomba Tangazo pamoja na nafasi husika nimeattach hapo. Tusaidiane , Nawasilisha
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuedit cheti changu

    Naomba kuuliza jinsi ya kuedit majina kwenye cheti changu maana nahitaji kutuma copy za vyeti kusudi langu ni nakala hizo kufanana majina tu.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kutuma email

    Najaribu kutuma email lakini cha kushangaza haziwi delivered kwa mhusika bali zinanirudia kwenye email yangu.. msaada tafadhari
  5. R

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kuondoa tatizo la touch kwenye samsung galax note 2

    simu yangu inanisumbua sijui tatizo maana nikitumia pen inafanya kazi vizur lkn nikijaribu kutumia hands haifanyi kazi kiboard. Msaada please maana hata msg siwez andika.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Urais 2015: Walimu vijana watangaza kumuunga mkono January Makamba

    walimu tumeshindwa kuungana kudai madai yetu ..tunaanza kutumika kwa wanasiasa..kama hao wanaojihta wanamtandao basi wasitake kuishusha taaluma ya ualimu...Ni kwel tunaitaj mabadiliko lkn sio tutumike binafsi siko tayar uzee au ujana sio hoja ..
  7. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa turns 70: Bado ni "think tank" wa CHADEMA?

    Mugabe miaka 90 ,mbona mambo safi zaid ya kijana kabira kwake vita mwendo mdundo.so Dr.slaa bado ni kikwazo kwa Ccm na wanaojihta AcT.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tanganyika imerudi

    A: irudi Tanganyika
  9. R

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya private na migpa mikubwa kwa nini?

    jamaa wanalalamika et GPA kubwa vyuo vya private. Mbona watu walio serious gvt tunapiga GPA kubwa kishenzi tuacha mambo ya ajabu tatzo walioko vyuo vya gvt wanajarbu kuja na historia za 4m6 et div 1,2. ukwel ni kwamba wanajisahau na kula bata mm shaidi nipo ud tena COET lkn GPA kama 4,zipo...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mahali pakusoma tuition kwa Mwanza

    wanajamvi mie naulizia mahali pa tuition center masomo ya physics, chemistry na hesabu kwa kidato cha tano ( kwa Mwanza) mwenye kujua vituo hivyo vilipo huko mwanza tusaidiane ili nimpeleke ndugu angu . Ntashukuru kwa msaada wakuu
  11. R

    JamiiForums Tanzania Press conference ya ACT-Tanzania

    Teh! et uislamu jaman mnaoutumia uislam achen zenu CDM sio mchezo mtasema sn.kama hamna kazi semeni
  12. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kupata pigo kubwa, Kupoteza Mbunge na Madiwani wengi kwa ACT Kigoma.

    Hukana ACT coz hayo wote ni Magamba......poa tu Tulianza na Mungu na Tutamaliza na Mungu 2015 .pamoja Daima. ChaDeMa haina mniliki
  13. R

    JamiiForums Tanzania Course gan ya VETA ni rahisi kupata kazi

    jaribu hizi mkuu: 1. brickworks & masonry (3yr) 2. motor vehicle mechanics (3yr)
  14. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ndio vyuo vya kata vya Tanzania

    Tatzo mtoa mada uwezo mdogo : tatzo ni up mbukeni mie nmesoma hvyo vyuo unavyodhani sio vya kama but kuna watu walichaguliwa name div 1 & 2 BT walionekana vilaza sn nikahis kumbe wanabahatisha tur
  15. R

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Walimu tumechoka na nyimbo zenu .tulieni fanyeni kazi mwache ulimbuken
Back
Top Bottom