Recent content by Ridhwani Mbaraka

  1. Ridhwani Mbaraka

    Nawezaje kumsaidia Mwanamke anayefanya kazi baa na pia anajiuza?

    Nimetembea mikoa kadhaa na nimeona mengi ya aina hii. Lakini kusema ukweli nilipofika Wilaya moja ya mkoa wa Kusini nilikutana na Mwanamke mwenye umri wa wastani wa miaka 28 hivi anaeonekana anajitambua na ana malengo. Nilimhoji, nikaelewa kuwa ni mgeni maeneo hayo ametokea mikoa ya Kaskazini...
  2. Ridhwani Mbaraka

    Kwa tulipofikia mikutano ya siasa kwa nchi yetu haina tija zaidi ya kucharuana tu! Pigeni marufuku hii mikutano uchwara!

    Tatizo ni wewe hujui Siasa! Hiyo ndio Siasa Kaka. Ulitegemea siasa iwe Sawa na lecture room,ulitaka siasa iwe Sawa na semina? Hiyo ndio Siasa..unasema hili,mwenzio anakuja kusema lile ulilosema kwa namna nyingine ...wananchi wanaachiwa jukumu la kutafsiri. Nakuhakikishia kwamba kama siasa...
  3. Ridhwani Mbaraka

    Ni jiji lipi linampa mtu fursa ya kuanza biashara na kukua kwa biashara yake?

    Mimi nitakwambia biashara inayoendana nami ..Wewe buni biashara inayoendana na wewe..Then wekeza muda wa kutosha kufanya utafiti wa kujua wapi utaweka ofisi yako,wapi utanunua bidhaa zako. Then anza.. Ukianza achana na matumaini kwamba una mtaji wa 5mil. Hiyo yote inaweza kuzama bila kuanza...
  4. Ridhwani Mbaraka

    Ni jiji lipi linampa mtu fursa ya kuanza biashara na kukua kwa biashara yake?

    DAR es salaam ni jiji kubwa sana..Jiji la Arusha au Dodoma ni Sawa na mitaa miwili au mitatu ya Dsm. Ukubwa wa jiji na uwingi wa watu hutoa fursa pana ya biashara inategemea na wewe unauza nini na unauzaje. Karibia robo tatu ya watu wa Dsm wanapokwenda kununua bidhaa Kariakoo(hasa za simu)...
  5. Ridhwani Mbaraka

    Mchango wa Halima Mdee kuijenga Chadema ni sawa na Wajumbe wote waliobaki Chadema ukimtoa Mbowe

    Lofa mwingine huyu hapa. Hata ingekuaje kama Chama kimewateua wasingelishindwa kuwaacha na kuwatetea .CHADEMA kilimtukana Lowasa kwa muda wote wa siasa zake lkn walipoona atawavusha walimteua kugombea uraisi na walivaa kila aina ya ujasiri kumtetea . Watashindwa leo kuwatetea akina Halima hata...
  6. Ridhwani Mbaraka

    Ni wazi kuwa hawakuwa na uhalali wa kuwa wabunge. Hakuna credit ya kisiasa mliyopata kwa kuwafukuza. Uraiani kuna political gain yoyote mtaambulia?

    Kama chizi !! Hapo unaunga mkono hoja ipi ambayo kaizungumza? Kama wasingepewa nafasi ya kusikilizwa au kukata rufaa mngesema. Lkn sasa mmekosa la kusema. Kwani CHADEMA walikua wanatafuta kuungwa mkono na umma ktk hili? Umma ulishawaunga mkono kabla hawajapewa nafasi ya kukata rufaa. Ni lini...
  7. Ridhwani Mbaraka

    Ni Miss Tanzania yupi uliyemuelewa na unayemkubali?

    Anna Maeda naona hatajwi kabisa...Miss Tanzania 1996/97 Mwenye picha yake tafadhali.
  8. Ridhwani Mbaraka

    Butiama: Misa ya Maandalizi ya kumtangaza Julius K. Nyerere kuwa Mwenye Heri yafanyika kuelekea kuwa Mtakatifu Nyerere!

    Hakuna kitu kibaya kama kuandika au kusema kitu huku umeshupaza shingo kwa kufikiri unajua kumbe hujui chochote. Kabla ya kuitaja Quran kama kitabu wanachotumia wachawi lazima ujue kama Kiarabu ni lugha kama kilivyo Kiswahili. Kwahiyo sio kila kitabu au anaetamka au kuzungumza au kusoma kwa...
  9. Ridhwani Mbaraka

    GE2020 Uchaguzi tarehe 28; CHADEMA inapoteza kila kitu

    Huna akili kabisa wewe! Kwani Kikwete alipoanzisha mchakato wa Katiba ..ilikuwepo kwenye ilani? Halafu nani kakwambia Katiba mpya ni takwa la CCM,kwamba ili mchakato uanze au Katiba iandikwe lazima iwepo kwenye ilani ya CCM?
  10. Ridhwani Mbaraka

    Siyatambui mapinduzi Guinea, Rais Conde namtambua kama Rais bado waliomteka nyara wamrudishe upesi

    Hawezi eleweka ...Huyu ni mmoja wa wana genge la POTONGWE aliowataja POLEPOLE juzi.
  11. Ridhwani Mbaraka

    Siyatambui mapinduzi Guinea, Rais Conde namtambua kama Rais bado waliomteka nyara wamrudishe upesi

    Kumbe unajua kifo hakizuiliki ndio maana kuna jambazi lilidondoshwa vilevile Kwa ukatili na uhayawani wake. Mamedy akidondoshwa Kwa kuuawa au vinginevyo atakua amemwondosha dikiteta la CCM B kule.
  12. Ridhwani Mbaraka

    Siyatambui mapinduzi Guinea, Rais Conde namtambua kama Rais bado waliomteka nyara wamrudishe upesi

    Ungekua na uwezo huo si ungezui kifo cha mbaguzi,mwonevu na dhulumati aliekwenda zake? Lofa kabisa weweeeee!!
  13. Ridhwani Mbaraka

    Siyatambui mapinduzi Guinea, Rais Conde namtambua kama Rais bado waliomteka nyara wamrudishe upesi

    Yalikua HALALI hayo mapinduzi?? Hizi takataka za CCM ni machizi matupu....
  14. Ridhwani Mbaraka

    Siyatambui mapinduzi Guinea, Rais Conde namtambua kama Rais bado waliomteka nyara wamrudishe upesi

    Kikosi kimoja cha makomandoo bila kushirikisha vikosi vingine vya jeshi wakaenda kumteka Raisi Condé na kumficha wanakojua wao. Huyu lofa aliendika hili bandiko Mpumbavu sana...Eti "kikosi komoja tu cha makomandoo". Ulitaka viwe vikosi vingapi ili uite mapinduzi HALALI?
Back
Top Bottom