Hapana ww ndio hujui nimekaa na waislamu tokea udogo wangu hawaangaiki kusubiria adhana ikifika muda wa kuswali wanaswali sasa kwa jinsi ulivyo panic ww ni mwislamu jina yaani unasubiria adhana ndo uswali yaani ww ndio unamambo mengi kuliko Mungu. Ww ndio kafiri mno
Dunia sasa imestaharabika hivyo kwa rwanda kuzuia uharibifu wa mazingira wa sauti nafikiri dini zetu zinatakiwa ziendae na wakati wa sasa maana swali muhimu la kijiuliza ni: je adhana ni muhimu saidi ya SWALA ?
Mtazamo wangu nafikiri Mh Raisi alikuwa anajaribu kuwa sawa na sera ya nje kuhusu demokrasia ilikupata mkazo kutoka huko ila nafikiri angejikita sana kuona namna ya kuiunganisha Tanzania na jamii ya nje hasa kwenye masuala ya kiuchumi na teknolijia zaidi
Siasa ya leo imewafagia watu sasa wanatafuta kick ivi kuna mafisadi wangapi wameiba hela na alitakiwa atoe ushahidi kama yuko fair mfano hazina hamna hela alitakiwa atuambie nani ametufanya masikini sio kubeza chadema atusaidii ila minamwona kama hana tofauti na hao mafisadi
Sikushangai. Maana kunawatu bado wanaamini chama ni ccm ni si vingine so hauna kosa kufikiria hivo maana unaonyesha jinsigani ulivyo mkereketwa. Sasa kwa njie mnaomwona tofauti naomba niulize maswali mawili makuu 1: je unakubali tanzani kuwa nchi inayokuwa na siasa za vyama vingi..?
2: je kuwa...
Kakuta mashine hazifanyi kazi kafukuza bodi nzima wakati hela za kutengeneza wanatoa wizara kupitia hazina. Sasa nashindwa kuelewa aliwafukuza kwa sababu ipi kisiasa ana kiutendaji
Hapa ndo nakubali kuwa ushabiki unafanya watanzania wakose maendeleo na wakose viongozi wazuri. Ukiangalia vyama vidogo vina mambo mazuri na yanayo tekelezeka ila tunaona hawanakitu kwasababu hawana mashabiki acheni huo ujinga utatupoateza
Kinacho nikera na kunitapisha ni ccm kuwa kama wanamipasho inashangaza sana kama mamlaka tumewapa lakini nashanga wamekuwa watu wa kuropoka na maneno ya ovyo vitendo hakuna cha ajabu ni miaka saba sasa huyu wanae muita fisadi yupo nchi hii hii na tena anapeta na bado anakula pesa za serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.