Recent content by Rickrockie

  1. R

    JamiiForums Tanzania Vizungu vya masupa staa wa Bongo

    Kuongea au kuandika kiingereza ni kipaji...Dada wa watu kapiga za Ugoko mpk Bhaaas, ngoja namimi niandike kidogo Happy Blue Monday
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Kibasila aishi na kinyesi chumbani kwake kwa miaka miwili

    Mwanamke wa namna hiyo aliwahi kutokea kimara baruti ila yeye alikua mtu mzima kiumri msomi mwenye degree mbili, aliishi hivyo hivyo yani kila kitu kinashabihana tuliita kaka zake wakaja mchukua zoezi hilo nililisimamia kama balozi wa eneo husika
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye hekima na heshima anahitajika

    Je? Ana watoto au mtoto. Hili hujatujuza bi dada
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ni halali ndg Edward Lowassa kuitwa 'Waziri Mkuu mstaafu'?

    Ni kweli sio sahihi kumuita Mstafu, ila isipokua wale wanaomuita Mstaafu wako sahihi kwa uelewa wangu...kwa maana ya matamshi au uandishi wako mkuu..nimerekebisha hapo Mstafu badala ya Mstaafu.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Matatizo katika simu

    Nakushauri kama upo dar nenda kwenye service center za Huawei Lotus Africa zilizopo kijitonyama sayansi
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wa kaka simuelewi

    Wasiliana na Shigongo tafadhali
Back
Top Bottom