Recent content by Richmoto Kushmoto

  1. Richmoto Kushmoto

    JamiiForums Tanzania Xiaomi redmi 10c gb128 inafaa kwa matumzi ya picha

    hii brand ya xiaomi nimeona imeanza kutrend ukiangalia hii redmi 10c ya gb 128 ina sifa nzuri lakini kwa sisi wadau amabao hatuwajawi kutumia hizi nataka kufahamu ubora wake wa camera pamoja battery
  2. Richmoto Kushmoto

    JamiiForums Tanzania Asante VPN naperuzi bila mb sasa JamiiForums mtelezo tu

    vpn gan mkuu maisha magumu saiv chapat moja 400tsh
  3. Richmoto Kushmoto

    JamiiForums Tanzania Filamu kali za mwaka 2022

    Hizi ni moja ya filamu zilizobamba mwaka huu 1. Silverton siege 2022 filamu imechezwa south africa moja wapigania uhuru wanaiteka bank kubwa ndani ya hiyo kuna mtoto wa kigogo mkubwa na ni supervisor wa hiyo wanaiteka lakini hawaibi fedha shida yao kubwa ni nelson mandela aachiwe movie...
  4. Richmoto Kushmoto

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua nokia g10 zinafaa kwa matumizi ya picha

    hizo mpya tunazipataje maana nying used
  5. Richmoto Kushmoto

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua nokia g10 zinafaa kwa matumizi ya picha

    hivi zinakaa na chaji kweli
  6. Richmoto Kushmoto

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua nokia g10 zinafaa kwa matumizi ya picha

    kuna hizi simu za nokia g10 nimeona review ziko vizuri kutoka na review nilizoangalia je nyinyi watumia wa nokia g10 ni nzuri kwa picha za mchana na usiku bei nimeona around 370k za bongo
  7. Richmoto Kushmoto

    JamiiForums Tanzania Gari kuzima ukiweka gear ya reverse inasababishwa na nini?

    ungesema ni gari gani mzee tuanzia hapo kwanza
  8. Richmoto Kushmoto

    JamiiForums Tanzania Kuna gari ukiendesha unaonekana 'muhuni', inasikitisha sana

    sport car mnaita uhuni JF RAHA SANA
  9. Richmoto Kushmoto

    JamiiForums Tanzania Kuna gari ukiendesha unaonekana 'muhuni', inasikitisha sana

    aha ***** nazikibali hizo unazivunjia heshima kabisa
  10. Richmoto Kushmoto

    JamiiForums Tanzania Kuna gari ukiendesha unaonekana 'muhuni', inasikitisha sana

    [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
  11. Richmoto Kushmoto

    JamiiForums Tanzania All of us are Dead

    vizuri ni yamoto sana hii series
  12. Richmoto Kushmoto

    JamiiForums Tanzania Benki Ongezeni Hili kwenye ATMs zenu

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  13. Richmoto Kushmoto

    JamiiForums Tanzania Speaker za JBL ni ndogo ila ni bei kubwa

    we tupe contact bob
  14. Richmoto Kushmoto

    JamiiForums Tanzania Speaker za JBL ni ndogo ila ni bei kubwa

    bei gan
Back
Top Bottom