Recent content by richie ze best

  1. richie ze best

    JamiiForums Tanzania Nimepata visa ya kazi Europe

    Hapa kwenye Agent kuna changamoto, Jamaa atengenezi mkataba wa kazi, anatengeneza working permit peke yake..sasa kuna namna bila mkataba kuna mambo kama TAESA utakwama, Airport napo miyeyusho ukiwa unatoka, Pia polish Embassy wanataka na contract. Mimi nimepita Ki Mungu Mungu mkuu..kama unataka...
  2. richie ze best

    JamiiForums Tanzania Nimepata visa ya kazi Europe

    Kila kitu nitajibu hapa hapa
  3. richie ze best

    JamiiForums Tanzania Nimepata visa ya kazi Europe

    Nitawa update, Wapuuzi hapa ni wengi wanaongea mambo mengi wasiyoyajua.. Europe ni sehem nzuri kwa wasio na fani.. Kama una michongo yako inakupa kuanzia 1M komaa bongo, Kuna shida kubwa watanzania tunanyimana fursa..huku wamejaa wakenya,wanyarwanda na wazimbabwe. So far kampuni ya watu 1000+...
  4. richie ze best

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Lips
  5. richie ze best

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Wanawake wafupi wanakuwaga watam
  6. richie ze best

    JamiiForums Tanzania Nimepata visa ya kazi Europe

    Unataka namba za Agent?
  7. richie ze best

    JamiiForums Tanzania Nimepata visa ya kazi Europe

    Neno chuki tu ndio umeliona sentesi nzima? Uwe na siku njema.
  8. richie ze best

    JamiiForums Tanzania Nimepata visa ya kazi Europe

    Wako hapa na wenyewe wanasubiri kazi kama mimi
  9. richie ze best

    JamiiForums Tanzania Nimepata visa ya kazi Europe

    Ndio mkuu
  10. richie ze best

    JamiiForums Tanzania Nimepata visa ya kazi Europe

    Acha chuki unataka kujua nini? Kuna sehem nimekataa kuweka details?
  11. richie ze best

    JamiiForums Tanzania Nimepata visa ya kazi Europe

    Toka naingia, uafrika ni tatizo
  12. richie ze best

    JamiiForums Tanzania Nimepata visa ya kazi Europe

    Sawa
  13. richie ze best

    JamiiForums Tanzania Nimepata visa ya kazi Europe

    Shida sio Agent shida ni visa, Google ama atleast angalia hata YouTube, ama nenda polish embassy jumatano na ijumaa ukaone visa denied [emoji58] utaelewa.
  14. richie ze best

    JamiiForums Tanzania Nimepata visa ya kazi Europe

    Niko kwenye ofisi pamoja na wanapal, wote tunataka kazi..ofisi ya mzungu
  15. richie ze best

    JamiiForums Tanzania Nimepata visa ya kazi Europe

    Inawezekana, Gharama za malazi ziko juu wacha nikajishikishe huko kwanza uku nikiangalia michongo mingine
Back
Top Bottom