Recent content by richi84

  1. richi84

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Nashangaa kuona Kuna kingamuzi Cha 34000 Mimi chakwangu kilisumbua kilikua kinaandika no signal nikapeleka ofisi zenu wakasema kinatengenezeka nilipe hela ya ufundi nikkakubali baada ya wiki nafatilia naambiwa lbd ninunue kingine kwa 79000 nikapiga cm cm kwenu kulalamikia nikijua ntapata msaada...
  2. richi84

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Naomba kufahamu wanapo uza nguo za ndani za kike nzuri kwa jumla
  3. richi84

    JamiiForums Tanzania Bunda: Mwili wa Samson Josiah, mmiliki wa mabasi ya Super Sami waokotwa mto Ndabaga kwenye Kiroba

    Ata waalifu na wenyewe wamejificha kwenye kivuli cha siasa majambazi na wenyewe watafanya hayo na kujificha kwenye kivuli cha siasa
  4. richi84

    JamiiForums Tanzania Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

    Sasa utagimbana na wangapi mze achana nae kakosa sifa za kuwa mke mtarajiwa lkn fahamu hili hapo alipo anahaki yakumchagua mtu ambae anaona kuwa anampa kile kinachomfrahisha ndani na nje cyo ujisifie tu kuwa unajua kukoroga sana kama anapenda ucheshi nihaki yake apate acha ubabe mapenzi nizaidi...
  5. richi84

    JamiiForums Tanzania Hivi ukifanya ngono na mwanamke ni lazima umtoe chochote baada ya game?

    Huo muda uliompotezea kwajili ya starehe zako hujaona ila kama amekutafuta yeye inapaswa asilimia 100 za matumizi yt ahusike yy
  6. richi84

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lisishiriki kwenye mchezo mchafu wa kuwahadaa Watanzania, Mkurugenzi wa Yono akamatwe

    Jeshi la polisi limepelekewa taarifa wamkamate mtu alievuruga mnada wametimiza wajibu wao amevunja sheria za mnada ikiwa unavielelezo vingine kwamba yono wanahusika kuvunja mnada ule unapeleka na wenyewe wabakamatwa
  7. richi84

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, ashauriwe aache kuchomeka chomeka maneno ya kizungu katika hotuba

    Hajavunja sheria za nchi lkn
  8. richi84

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lisishiriki kwenye mchezo mchafu wa kuwahadaa Watanzania, Mkurugenzi wa Yono akamatwe

    Umetufungua akili am not sure kama ni sahihi lkn inaelekea kua sahihi
  9. richi84

    JamiiForums Tanzania Hii uisetiwa hii

    Mh
  10. richi84

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mawazo mgando ya wabunge wetu; tuendelee kuchagua wabunge kwa ajenda mahsusi!

    Tunapata shida sana kuwaelewa kila nyakati wao nikukosea sina shaka na ushauri wao shaka yangu nipale itakapotokea serikali ikafanyia kazi watakosoa pia
Back
Top Bottom