Recent content by Richh Gall

  1. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hizi tuhuma ni nzito sana, kama ni kweli, hii ‘chain’ itapeleka wengi gerezani kwani ni sawa na uhaini

    Sikulazimishi uamini. Wewe ndio reasoning yako ina shida. Sijataka kutaja kiundani background yake na aina ya shughuli anazofanya ambazo zimempa exposure kwa hizi NGOs. Na unadhani tegeta alikuwa anapanga nyumba ya kawaida???? Au unadhani anajenga nyumba yake ni ya kawaida?? He is not your...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hizi tuhuma ni nzito sana, kama ni kweli, hii ‘chain’ itapeleka wengi gerezani kwani ni sawa na uhaini

    Mimi huwa sitoi comment hovyo hovyo humu jamvini.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hizi tuhuma ni nzito sana, kama ni kweli, hii ‘chain’ itapeleka wengi gerezani kwani ni sawa na uhaini

    Sijui kuhusu huyo uliyemtaja lakini kuna mtu ambaye ni kama rafiki kwangu aliniambia yupo in dillema kwa sababu amefuatwa na watu wa nje kumuhaidi hela nyingi ili kuandika tafiti na makala za kuchafua serikali. Ni mtu aliyekuwa hata kulipa kodi ya nyumba huko tegeta ilikuwa inakua shida sana...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

    Umenikumbusha mtangazaji R. Masako wa ITV alivyokuwa anaitangaza in a very dramatic way. May their souls RIP.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini watu wengi maarufu nchii hii wanatokea kigoma

    Warundi wale
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Msanii Shamsa Ford na Chid Mapenzi yavunjika rasmi

    Matumizi ya vidonge vya majira ya muda mrefu pia hukimbiza uzazi. Hao wote uliowataja walizaa kabla. Hofu ya kuwa stuck na watoto kadhaa bila ndoa kama unavyosema inaweza ikawafanya watumie sindano na vidonge wakisubiri ndoa rasmi. Na ndoa ikija ndio hapo uzazi umeshakimbia. Hili tatizo hukumba...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Naomba nikumbushie uzi wa ndoto ya vifo vya mfululizo niliyowahi kuileta

    Levels zenu za imani ni tofauti sana. Hamuwezi kuelewana. Ubishi wa kiimani ni kupoteza energy for nothing. MUNGU azidi kukuongoza na kukujenga zaidi kwenye imani. Niishie hapo mkuu.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

    Unachosema ni sahihi. But That does not justify kuondoa/kufupisha uhai wa mtu kwa sababu ya mali. Hizi rumours zinazo endelea na jinsi anavyo behave kwenye msiba na kabla ya msiba ndio inaleta dosari. Mbona wamekufa watu mashuhuri na wenye pesa wengi na hatujawahi kusikia mambo tunayoyasikia...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Miwani meusi ya Jacky , yazua Utata msibani.

    UKWELI MCHUNGU😏
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Mengi anapolazimika kuwa kituko mbele ya jamii

    Mange keshaharibu hali ya hewa huko insta
  11. R

    JamiiForums Tanzania Jambo gani la aibu ulilofanya ndani ya basi?

    Jamii Forum bhana!! Unaweza ukajikuta unacheka pekee yako mpaka unaonekana mwehu😂😂😂😂😂😂
  12. R

    JamiiForums Tanzania Uzi wakutaja kitu chochote ambacho uliwahi kuona na sio cha kawaida katika maisha yako

    Ila we jamaa umenichekesha sana. Mpaka nimekomenti😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi 'kuchungulia kaburi' tukutane hapa

    Nakubaliana na hili. Mjini watoto wanachungwa sana na kulelewa kwenye geti kali. Shule wanapelekwa na basi la shule. Maji yapo bombani hawaendi kuchota kisimani. Mjini matunda yananunuliwa sokoni na juisi wanakamuliwa kabisa hakuna haja ya kukwea miti kuchuma matunda. Besides, miti yenyewe ya...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Familia ya Ruge Mutahaba imeanza kuomba misaada kwaajili ya matibabu yake

    Inategemea na hali ya mgonjwa. Kama kuna mambo mengine hayako sawa hawawezi kumfanyia surgery yeyote mpaka awe stable. Kuna ndugu yangu nilimpeleka India for a heart surgery. Kufika tukaambiwa pia alikuwa ana shida ya figo ndio maana mwili ulikuwa umevimba sana. Kwa hiyo wakaanza stabilization...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Umeme umekatika Dar?

    Tangu saa saba nipo macho nimeshindwa kabisa kulala kwa kwa sababu ya combination ya joto na mbu!! Wenye Dar yenu mmezoea. Sie wa bara ni TABU kupita maelezo!!!
Back
Top Bottom