Recent content by richenriques

  1. richenriques

    Sandals za kiume zinauzwa

    Sandals nzuri za kiume size 42-44 zinapatikana kwa 20,000.. PM kwa mawasiliano zaidi
  2. richenriques

    Kupunguza kuzeeka na kuwa na ngozi laini na changa

    Hazina ubaya hasa ikiwa ni za aina yako ya ngozi
  3. richenriques

    Ofa kwa wanaopenda kutokelezea

    kwa wanaume sahv nina hizo sandals tu
  4. richenriques

    Smartphone mpya zinauzwa kwa bei nafuu

    Pm tuwasiliane
  5. richenriques

    Smartphone mpya zinauzwa kwa bei nafuu

    Contact 0652140160
  6. richenriques

    Smartphone mpya zinauzwa kwa bei nafuu

    Nauza simu original za Samsung na htc.. Agiza unayohitaji, napatkana dodoma na dar.. HTC M8 500,000/= negotiable Samsung A7 800000/= negotiable Samsung grand prime 400,000 /= negotiable... Tuanze na hizi wakuu
  7. richenriques

    Ofa kwa wanaopenda kutokelezea

    Japo hili si jukwaa la matangazo ila kwa kuwa wapenda mitindo wengi wapo humu naomba kuwapa ofa hii... Gauni size ni medium material ya kuvutika hata kibonge kias anavaa, nauza 35000 nakutumia popote, pochi nyeusi plain 30,000, pochi ya pink na nyeusi ya maua 28000, boots 50,000 zipo size 43 tu...
  8. richenriques

    Kupunguza kuzeeka na kuwa na ngozi laini na changa

    Walio na umri wa miaka 35 na kuendelea na anautayar wa kugharamikia ngoz yake kwa 240,000 anitafte nimpe set ya ecollagen, ni uhakika.. Ila usiwe na chunusi.. Kma unachunusi inabid kushughulikia hizo kwanza
  9. richenriques

    Wahi simu mpyaaaa bei poa

    Assume hyo post ya kwanza yako af ya kwako ni yangu, afu pima utajiskiaje.. What you do defines you... Kuwa mstaarab
  10. richenriques

    Wahi simu mpyaaaa bei poa

    Samsung grand prime mpya 350,000..serious buyers tu text pm au tuma namba... Wahi yako mapema kabla ya mwez wa sita maana ztapanda bei..
  11. richenriques

    Kiwanja, kiwanja, kiwanja

    Ni pale mtaa wa kwa zoka...
  12. richenriques

    Kiwanja, kiwanja, kiwanja

    Kiwanja kinauzwa kipo maeneo ya Vigwaza, Ruvu ni karibu na barabara, kuna shule, hospitali, umeme na maji, ukubwa ni hatua 20 kwa 37, bei milioni 4, inapungua...
  13. richenriques

    Msaada: Lotion nzuri kwa uso wenye mafuta

    Ulikua unapaka usoni au mwilin??
Back
Top Bottom