Msaada: Lotion nzuri kwa uso wenye mafuta

Mimi uso wangu una mafuta sana nikashauriwa nitumie cleanser inaitwa vovi aiseehh sitaiacha kabisaa ni nzuri na inapatikana maduka yote ya s.h.amon bei ni 15k
 
Habari zenu wana urembo,

Naomba msaada wa kupewa ushauri wa moisturizer gani nzuri kuupaka usoni kwa wale wenye combination skin or oily skin uso wangu una mafuta ambayo hayachemki bali yanaganda na kutoa weupeweupe flani hivi usoni.

Sio siri unaninyima raha rangi ya ngozi yangu ni brown naomba katika ushauri huo mnisaidie mositurizer ambayo itanifanya ngozi yangu ibaki hivyo hivyo brown coz sipendi kujichubua kabisa.
Nunua seti ya pure skin au love nature tea tree ya oriflame itakusaidia
 
Kunywa maji mengi
watakuona kama unachekesha. Ila ukweli ni kwamba niliachana na aina yoyote ya mafuta7/losheni baada ya kugundua kila nikipaka natokwa na vipele usoni nilibadilisha aina nyingi za losheni pasi na mafanikio ...

ila kwa wadada kuacha kabisa kutumia sidhani

queen jaribu sabuni zenye dawa...
 
Mie napendaga vitu vya asili, huwa nachanganya unga wa liwa na rose water afu napaka usoni, then ukikauka nanawa na maji ya uvuguvugu then napaka limao nakaa baada ya dakika 20 nanawa, ngoz inakuwa nzuri kweli ata kama ulikuwa na vidoa vya chunusi vinaisha,

rose water ndo nini?'
 
rose water ndo nini?'
Ni maji ya rose yanauzwa madukani. Mi huwa natumia haya
1462737907643.jpg
1462737907643.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom