richenriques
Senior Member
- Jun 6, 2015
- 188
- 33
Japo hili si jukwaa la matangazo ila kwa kuwa wapenda mitindo wengi wapo humu naomba kuwapa ofa hii... Gauni size ni medium material ya kuvutika hata kibonge kias anavaa, nauza 35000 nakutumia popote, pochi nyeusi plain 30,000, pochi ya pink na nyeusi ya maua 28000, boots 50,000 zipo size 43 tu, sandals 23000 zipo size 42-44 ....napatkana dodoma karibuni